sema wewe ndio unaamini sio wote.Aidha kwa kukubali moja kwa moja au kwa siyo kwa moja kwa moja lkn mwisho wa siku Waafrika tunaamini kabisa kwamba Wazungu ni Super human yaani ni zaidi ya binadamu wa kawada na chochote wakifanyacho ni sahihi!
Hili utaliona kila mahali, kosa hata liwe kubwa vipi likifanywa na Mzungu basi Waafrika tunaona ni sawa na kuliahalalisha ...
Tungemuomba msamaha kwa kutuibia.Unafikri kama yule dada wa Kikenya pale Mlimani City tuliyempiga na kumtembeza kumuita mwizi angekuwa Mzungu tungemfanyia vile? Naomba jibu la kutoka moyoni mwako kabisa!
Kama wazungu wana uwezo wa kupeleka chombo pluto kilomita takribani billion 5,na chombo kilisafiri miaka tisa na data za sayari ya pluto tukazipata bila shida kwa nini tusiamini kuwa wazungu ni super human???
Ata mimi nilitaka kusema hivyo hivyo tu basi.. ..Tungemuomba msamaha kwa kutuibia.
Ni Super Human kwa sababu wengi Wa Ewavumbuzi wa mambo mengi ya maendeleo ambayo binadamu tuna enjoy ni Wazungu. Invention ya mwafrika ni ipi? Angalia tu uundaji Wa kifaa ulichotumia kupost hapa if! Aliwezaje tu kubuni simu, computer, ndege, gari, meli, mashine, satellite, radar, space station? African kwa nini tusimuone mzungu ni Super? Ule ungo Wa kichawi tumeshindwa kuleta technology yake utumike kwa vitu vyenye faida oh mafuta yake damu ya binadamu!
Dar zipo Huduma zote hizo, tumeVumbua nini? Mitaa michafu, foleni kila kona, Maji ya shida, bado tunapikia kuni, tunauza, kupika Na kununua kwenye sidewalks hapo bado tuko Undeveloped? Sisi ndugu tuna IQ tofauti Na Wazungu. Ethiopia not colonized wazungu waliwa undeveloped vipi? Africa hatujawahi kujikubali tuna tatizo tu.Ninachoamini wote tuna uwezo sawa wa kufikiri, tofauti inakuja kwenye social, psycho-economy factors. Wale waliosoma kile kitabu How Erope Undeveloped Africa watanielewa pia kwenye hili. Kama kule Mwakaleli, Bumbuli, Tandahimba, Namtumbo na kweingineko kukiwa na umeme, computer, vitabu na maktaba. Maktaba itoe mafunzo ya IT kwa kila raia wake alie eneo lile, wananchi wapewe saa moja kutumia computer kila baada ya siku tatu, watu wasome majarida ya utafiti, science, kilimo, na vinginevyo. Watoto wetu waanze kujengwa na imani ya kupenda kusoma, nanaamini tutapata wagunduzi wengi katika siku zijazo.
Socia Economy Factor ndiyo inakuja hapo, mtoto atajifunza maktaba wakati hajui jioni atakula nini?Dar zipo Huduma zote hizo, tumeVumbua nini? Mitaa michafu, foleni kila kona, Maji ya shida, bado tunapikia kuni, tunauza, kupika Na kununua kwenye sidewalks hapo bado tuko Undeveloped? Sisi ndugu tuna IQ tofauti Na Wazungu. Ethiopia not colonized wazungu waliwa undeveloped vipi? Africa hatujawahi kujikubali tuna tatizo tu.