Waafrika tunaamini Mzungu ni ,,Super Human"!

Kwa akili hizi tutaendelea kulalama wazungu Super human wakati wao wanawaza picha za sayari ya Jupiter waliofikia kwa zaidi ya miaka mitano sisi tunawaza kupeana lift porini na kuzamia harusi
 
Tatizo lako ni kutoangalia chako kila dakika macho kwenye sahani yao. Hata upewe kiasi gani hutashiba kwa mtindo huo !!
Mara ooh mzungu kaenda jupitar mara ooh.
Ndo maana watu wa jinsi yako ni rahisi hata kuingizwa mapenzi ya jinsia moja. Kisa mzungu.

Acha upuuzi.
 
Ifanyishe kazi akili yako kufikiria mambo maishani mwako na kwa jamii nzima. Ukiujaza ubongo wako na hisia hasi, za kujidunisha, utaudumaza ubongo wako na hutafanya la maana. Kila dakika ipitayo hairudi. Binadamu, wa rangi zote tuna uwezo tofauti wa akili, na namna tunavyoitumia. Ukijaliwa akili hata kubwa kiasi gani, ukiidumaza, haitakusaidia ww wala jamii ya dunia.
 
Si tulioishi na kufanya nao kazi tunajua huo ni upuuzi wako.
Unaonaje akakuoa!!

Lakini haujajibu t,,hought experiment" yangu kwamba lift utampa nani? Na je yule dada Mkenya tuliyemdhalilisha pale Mlimani City angekuwa Mzungu/Muhindi/Mchina/Mwarabu pia tungemfanyia hivyo hivyo? Hizo ndiyo hoja zangu!
 
Kwa akili hizi tutaendelea kulalama wazungu Super human wakati wao wanawaza picha za sayari ya Jupiter waliofikia kwa zaidi ya miaka mitano sisi tunawaza kupeana lift porini na kuzamia harusi

Lakini hoja yangu bado haujaijibu, Je, wewe lifti utampa nani? Na Je yule dada wa Kikenya pale Mlimani City tuliyempiga na kumdhalilisha angekuwa Mzungu pia tungemfanyia hivyo hivyo?
 
Ifanyishe kazi akili yako kufikiria mambo maishani mwako na kwa jamii nzima. Ukiujaza ubongo wako na hisia hasi, za kujidunisha, utaudumaza ubongo wako na hutafanya la maana. Kila dakika ipitayo hairudi. Binadamu, wa rangi zote tuna uwezo tofauti wa akili, na namna tunavyoitumia. Ukijaliwa akili hata kubwa kiasi gani, ukiidumaza, haitakusaidia ww wala jamii ya dunia.

Pia bado haujajibu thought experiment yangu Je wewe lifti utampa nani? Na je yule dada wa Kikenya Mwafrika mwenzetu tuliyemdhalilisha pale Mlimani City kumtuhumu kwa wizi kama Mzungu angeiba pia tungemfanyia vile vile?
 
b961c458e0c5bdda2c7e2e7219854298.jpg
huyo hapo mwizi wa ATM naye ni mzungu watu wamempa kipondo heavy. Bila kujali rangi yake
 
Wazungu hatuwawezi hata kidogo.ona mungu na mzungu toa hiyo herufi z toka kwenye neno mzungu uone itasomeka vipi,kisha andika mswahili na uikatekate unavyopenda hata neno mbingu halitokei
 
Wazungu hatuwawezi hata kidogo.ona mungu na mzungu toa hiyo herufi z toka kwenye neno mzungu uone itasomeka vipi,kisha andika mswahili na uikatekate unavyopenda hata neno mbingu halitokei
Daah umeniacha hoi mkuu.
 
Wazungu hatuwawezi hata kidogo.ona mungu na mzungu toa hiyo herufi z toka kwenye neno mzungu uone itasomeka vipi,kisha andika mswahili na uikatekate unavyopenda hata neno mbingu halitokei
Yaani watu kama wewe ndiyo mnakubali kuwa second citizens kwenye bara lenu wenyewe. Nilikwenda Malawi kwenye mkutano miaka michache iliyopita, asubuhi nilikwenda bank kabla mkutano haujaanza, kulikua na foleni, nikajiunga kwenye mstari, kwakua ilikua mapema bank haijafunguliwa nilikuwa mtu wa pili, nyumba yangu watatu mzungu. Huduma zilipoanza aliitwa yule mzungu watatu kwenye foleni akahudumiwa kwanza, niliumia lakini pale nilikauka nchi ya watu. Jioni niliuliza wenyeji inakuaje wakanijibu kuwa wazungu hawapangi foleni. Jamani miaka mingapi baada ya uhuru.
 
Back
Top Bottom