WeedLiquorz
JF-Expert Member
- May 30, 2022
- 3,406
- 5,685
Elimu nene uliyoipata Imekusaidia tu Kukuongezea Confusion na Ubishi. Sawa Black Man komaa na History๐Hakuna kilichoandikwa na Mzungu the oldest Bible iko Ethiopia wakati Hao mababu zako WA kizungu wakiwa kwenye mapango. Na ndio maana walijaribu kuivamia hiyo nchi Mara kibao na silaha kali still hawakuweza maana ndio sehemu pekee iliyobaki ambayo hawakuweza kualter anathing. Wamshukuru mgiriki walipokuja kujifunza Egypt, Ethiopia na Nubia ndio akaamua kustafsrii WA lugha yake then mroma nae akaomba then huyo mzungu WA mwisho akajaa baadae kuweka kwa kingereza ndio akaona Kuna faida akiibadili kwa upande wake but still hakuweza vyote. Na ndo maana mpk kesho anahangaika na historia ya Egypt iwe nyeupe. Maana bila hivyo uongo wake wote utakuwa hauna maana.
Ndio maana jua halinisumbui but wao. Linawasumbua. Because am the ORIGINAL.