KadaMpinzani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 3,715
- 94
Nyinyi wote humu ndani mnaomuunga mkono huyo jamaa hamna akili, kwani IQ manake nini??? kama ingekua sisi hatuna akili kiasi hicho na kama huyo msenge masatu anavyosema basi waafrika wanaomaliza sekondary africa wasingeweza kusoma ktk vyuo vikuu ulaya kwa maana wangefeli muhula wa kwanza, madaktari wa afrika wasingeweza kufanya kazi ulaya, baadhi ya makampuni makubwa yasingeweza kuongozwa na waafrika. Mimi nasema kila siku tatizo la watu humu ktk hii foramu ni uwezo mdogo wa kufikiri wanashindwa kuelewa kwamba kinachomtofautisha mtoto mmoja na mwingine ni ni mazingira anayokulia, kama einstein angezaliwa masasi ktk kijiji chetu hakuna mtu angemmjua, kwa hiyo huyo watson wa dna nae hana akili, kwanza baiologia sio sayansi na huwezi kuwa na uwezo mzuri wa kufikiri kama umesoma bailogia kwa maana sio sayansi ya kweli bali ni ubabaishaji tu, kama akili zingekua zinarithiwa basi watoto waakina eistein, gauss, feynmann na wengineo basi nao wangekua maarufu. kupata nobel sio hoja huyo watson hana akili, ni lazma muelewe kuwa nobel ni bahati a haihusiani chochote na akili za mtu,... nitaendelea baadae lkni watu kama akina masatu nyani ngabu wanapaswa KUULIWA.....

My take:
Is this really what some of these people think about us?
Hahahahaha....wewe sasa unataka kumuibua Raj Patel kutoka machimboni..
Nakwambia akiiona hii atajiandikisha in split seconds...kama bado hajajiandikisha already (Manji Supporter au kwa jina jingine)
My take about your take: Of course, that is really what they think about us whether they want to admit or not. Deep down that is their feeling. But I think we give them all the reasons to think that about us so I make no apologies for us.
Im sorry I have to agree with the gaffer u dont need to go any further to see blacks adm across africa, if u go to europe those school with minority (blacks) are always performed mediocricity.
hata pasipo kuisolate a specific gene angeweza kufanya simple research through a scientific method. Angechukua waafrika 100 na wazungu 100 angewapa kila sawa elimu, mazingira ya kusomea, elimu ya msingi n.k halafu angewajaribu darasani compared to a control group of both races that is not provided with anything.. baada ya hapo ndio angeweza kujenga angalau hoja ambayo wanasayansi wengine wangeweza kurudia majaribio hayo na kuona kama nao wanapata suluhisho hilo hilo.
angetumia huo mfano hapo juu mwanakijiji asikwambie mtu, waafrika wangewatoa nishai wazungu haki ya nani, si unajua waafrica wanavyojua kusoma na kuelewa, tokea kipindi kile kusoma usiku na vibatari lakini mtu still anamanage kufanya vizuri achilia mbali hawa waliozoea study lamp, na still wanafanya poor darasani, sasa uniambie wote wapate breakfast ya nguvu asubuhi, computer, wanalaza ubavu wao kuzuri kitandani ndani na kyoyozi, wazungu watatafuta pa kukimbilia nakwambia !
Wewe...wewe...
Yaani wewe ndio mmoja ya hao wanaoongelewa na huyo baba wa DNA. Kwanza, mtu aliyevumbua DNA unamuita hana akili?
Pili, hapa sidhani kama kinachozungumziwa ni akili ya darasani na uwezo wa Waafrika kusoma ktk vyuo vya wazungu/ ulaya. Kabla sijaenda mbali umeshasema 'vyuo vikuu vya ulaya'..jiulize kwa nini sio vyo vikuu vya Afrika? Hii ni dhana kubwa sana kwa upeo ulionao.
Tatu, umezungumzia mazingira. Yaani wewe kwa uwezo wako wa kufikiria umeliingiza hili la mazingira ktk equation? Mazingira unayoyazungumzia wewe ni mazingira gani na ni wajibu wa nani kuyamudu hayo mazingira kwa kutumia vizuri na ipasavyo nyenzo, rasilimali na maliasili zilizopo, kwa faida yao na kwa lengo la kuboresha na kurahisisha maisha?
Kama hujanielewa nenda kale mavi kwani nimesikia yana-boost upeo wa kufikiri kwa kiasi fulani kwa watu kama nyie ambao mko upeo-challenged
Shida yangu iko kwa wale waliomuunga mkono huyo mzungu, akina Nyani Ngabu, Masatu na wenzake. Kama mko huko ughaibuni ninyi ndio huenda mkawa "unrepresentative sample" ambayo Watson anatumia. Mtu unafikia mpaka unajidharu mwenyewe, hatari! MWAFRIKA JIAMINI, USILAGHAIWE NA MBAGUZI WA RANGI...hana data zozote alizoonyesha kudhibitisha hayo..maoni yake tu machafu ..
The problem is that he is not producing any evidence that he has any scientific findings. His area of expertise is in DNA but he has not isolated the DNA differences between races that account for differences in intelligence. If he had produced such data then it would be possible to debate these results yet as he has not done so then it reasonable to claim that his remarks are based on prejuduice. Having a scientific reputions doesn't mean that every utterance he makes ishas scientific validity.
Did Kijakazi's posting deserve this harsh response? Really?
May be I am missing something here.