Bsyotyo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2022
- 617
- 988
Habarini Ndugu.
Afrika Afrika Afrika na pande baadhi Duniani kwa Ujumla Tumevurugwa na Vichwa Vyetu vimeoza kwa Kupotoshwa kwa Makusudi na Kwq Wengine kwa Ulazima wa Nguvu za Mabavu
Tumekubali Kuabudu Miungu badala ya Mungu mwenye Vyote . Sasa Tunaabudu Miungu ya Watu na Makabila ya Kale.
Leo hii Mtu kutoka Ulaya akija Kukusimulia Amemuona Malaika Kashuka Kutoka Mbinguni Akamwambia Moja Mbili Tatu. Na Jina Lake ni Fulani. Mwafrika Bila Kufikiria Anaanza Kumwomba Huyo Malaika Kwa Maneno tu Ya Jmaa mmoja Mwenye Ndevu nyingi aliyetoka Huko kumwambia Hivyo.
Mwafrika anajikuta anaanza Kuabudu kitu asichokijua wala hajawahi kukiona . mwisho wa siku anaharibikiwa Maishani anaanza Kulaumu Dunia Imeoza . wakati Yeye kumbe ndie kaoza kwa Kuabudu vitu Alivyoambiwa na Kuandikiwa tu kwenye Karatasi. Na Tena Hata Bila Kutumia Akili Timamu Anaanza Kukitetea Kitu ambacho hajawahi Kukiona zaidi ya Kuambiwa Na Kuandikiwa kwenye Karatasi.
Mwisho wa Siku mnajikuta Mnaabudu Viumbe Malaika na Mnaacha Njia Sahihi za Maisha Yenu. Chunguzeni mtagundua Kwamba Nyie Mnaabudu Viumbe Malaika, maana Ndio waliowapotosha kwa Kuwaleteni Ujumbe na Wakasingizia Umetoka Kwa Mungu
Hebu Chukulia mfano huu. Kama Kweli mmefunga Na Mna-utaratibu wa Kuabudu ulio sawa basi Mngefungua Wote na Mkawa na Umoja Ulio sawa ila Angelieni Mlivyovurugwa. Huku mnasema Hivi Kule Wanasema Vile. Kma Kweli mnaabudu Mungu Mmoja Inakuwaje Leo Mnapingana?
Ndio mmjue Kwamba hamuabudu Huyo Mola mmoja Bali mna Ma mola Wengi wasioelewana. Maana Mola Si Mungu na Mungu si Mola.
Jambo Jingine
Leo hii Mwafrika Atakubali utafiti wa Mtu kutoka Nje kuliko Yeye Mwenyewe kujitafakari Ki Akili Timamu. Leo hii Watanzania Wengine wanaamini Eti mtu wa Kwanza Fuvu lake Lilikuwa Tanzania. Hivi kama Kweli Mtu wa Kwanza Alikuwa Tanzania , Mngehitaji Mtu mwingine aje Awaambie Hivyo kwani Nyie Hamkuwepo Tanzania(Tanganyika)? Mkamuona Huyo Mtu wa Kwanza Na Kizazi chake mpka Mtu mwingine Aje eti awaambie Mtu wa Kwanza Alikuwaga Hapa
Kwa Akili Timamu Haiingii akilini Wewe mwafrika Uje Usimuliwe Kama Vile Wewe hunaga Akili za Kutafakari. Kazi yako ni kupokea tu vitu usivyovijua Vimetokea wapi. Ukiangalia Mambo yao Mengi wanayowaandikia kwenye Vitabu mnavyovisoma Vingi ni Nadharia tu(Theory) maana Yake Bado hawana Uhakika na Wanayokuandikia Wewe uyasome. Ndio maana Leo hii Kitu ulichokisoma Miaka 5 nyuma Kishabadilika Hakipo vile ulivyokisoma Leo hii na Sometimes Ulidanganywa Huko miaka 5 nyuma.
Waafrika Tujitafakari Kabla Hatujapokea pokea Vitu Na Tukaviweka Vifuani Mwetu na Kuvitetea .
ASANTE