Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,255 Sep 17, 2014 #21 Natamani ningekuwa mbele ya huyo dada aliyekaa hapo no 15
Filipo JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 9,347 Reaction score 5,555 Sep 17, 2014 #22 Zinduna said: Babu DC hawa ni wa Tswana wa kule Botswana kwa Mzee Ian Khama na sio kwa yule kijana mpenda vimwana Mfalme Mswati aka Arushaone CC: Mr Rocky, Mungi, Filipo, PakaJimmy, Mzee wa Rula Click to expand... Unaakili sana Zinduna! Hii kitu umeniitia si mchezo!!!!!!!!!!!!!! Embu ngoja kwanza.............. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Zinduna said: Babu DC hawa ni wa Tswana wa kule Botswana kwa Mzee Ian Khama na sio kwa yule kijana mpenda vimwana Mfalme Mswati aka Arushaone CC: Mr Rocky, Mungi, Filipo, PakaJimmy, Mzee wa Rula Click to expand... Unaakili sana Zinduna! Hii kitu umeniitia si mchezo!!!!!!!!!!!!!! Embu ngoja kwanza..............
T Tata JF-Expert Member Joined Dec 3, 2009 Posts 5,799 Reaction score 2,734 Sep 17, 2014 #23 Nimependa hiyo picha ya huyo ndugu aliyebeba mtoto aliyeshiba vilivyo.
Sikonge Platinum Member Joined Jan 19, 2008 Posts 11,635 Reaction score 6,238 Sep 17, 2014 #24 Wanakata viuno sana tu..... Na Mizigo ya Sheick Kipozeo ipo kidogo. Zinduna said: Babu DC hawa ni wa Tswana wa kule Botswana kwa Mzee Ian Khama na sio kwa yule kijana mpenda vimwana Mfalme Mswati. Click to expand... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Wanakata viuno sana tu..... Na Mizigo ya Sheick Kipozeo ipo kidogo. Zinduna said: Babu DC hawa ni wa Tswana wa kule Botswana kwa Mzee Ian Khama na sio kwa yule kijana mpenda vimwana Mfalme Mswati. Click to expand...