Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,697
- 15,384
Leo kuna harusiWaliotangulia ndiyo waliyo warithisha wa leo!!
Leo kuna harusiWaliotangulia ndiyo waliyo warithisha wa leo!!
Harusi zinakusanya watu wengi tuchukue tahadhariLeo kuna harusi
Tahadhari dhidi ya covid ni muhimuHarusi zinakusanya watu wengi tuchukue tahadhari
Muhimu uwaelimishe jirani na raia wenzako usiwe mbinsfsi na usiwe mchoyo !!!Tahadhari dhidi ya covid ni muhimu
Mchoyo hafai kuishi kwenye jamii iliyostaarabikaMuhimu uwaelimishe jirani na raia wenzako usiwe mbinsfsi na usiwe mchoyo !!!
Iliyostaarabika utaielewajee bila kuingilana nao yakukute usiyo tegemea!!Mchoyo hafai kuishi kwenye jamii iliyostaarabika
Tegemea mabadiliko muda wowote kuanzia hivi sasaIliyostaarabika utaielewajee bila kuingilana nao yakukute usiyo tegemea!!
Sasa ni muda wa kulala kusubiri game ya kijinga kati ya Yanga na SimbaTegemea mabadiliko muda wowote kuanzia hivi sasa
Simba na Yanga kumbe wanakutana kesho!Sasa ni muda wa kulala kusubiri game ya kijinga kati ya Yanga na Simba
Simba maneno mengi sana ndo tatizo
Simba Leo lazima wagaragazwe.
Wagaragazwe Yanga kwenye tope la jangwaniSimba Leo lazima wagaragazwe.
Jangwani Leo kunyesha mvua ya ushindi.Wagaragazwe Yanga kwenye tope la jangwani
Nalog off
Ushindi kwa Simba Sports Club Leo ni lazimaJangwani Leo kunyesha mvua ya ushindi.
Lazima watanzania tubadilike na tusizibe masikio yetu tuchukue tahadhari ns kufuata maelekezo ya wataalam wa AFYA !!Ushindi kwa Simba Sports Club Leo ni lazima
Nalog off
Afya kila mtu atajijua mwenyewe, leo ni habari ya Yanga na SimbaLazima watanzania tubadilike na tusizibe masikio yetu tuchukue tahadhari ns kufuata maelekezo ya wataalam wa AFYA !!
Yanga na Simba ni urojo usiyo na ladha !!Afya kila mtu atajijua mwenyewe, leo ni habari ya Yanga na Simba
Ladha ya chakula anaijua mpishiYanga na Simba ni urojo usiyo na ladha !!
Mpishi hukinai mapema anachopika !!Ladha ya chakula anaijua mpishi