Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,104
Mawazo na rai za wasomi wetu zizingatiwe!!Bora umaskini wa fedha kuliko umaskini wa mawazo
Mawazo na rai za wasomi wetu zizingatiwe!!Bora umaskini wa fedha kuliko umaskini wa mawazo
Zizingatiwe haswa maana kuna msomi mmoja alikuwa tajiri wa mawazo, ameandika kitabu juu ya namna ya kuupata utajiri, then anaomba hapohapo achangiwe fedha za kukichapisha. Akajibiwa asome kitabu chake maana ameandika hizo mbinu za kupata shilingi.Mawazo na rai za wasomi wetu zizingatiwe!!
Shilingi ni serufi/sarafu nzito ya madini huzaa noti aina ya karatasi ndiyo sbb ya sisi kushindana kuzitafuta !!Zizingatiwe haswa maana kuna msomi mmoja alikuwa tajiri wa mawazo, ameandika kitabu juu ya namna ya kuupata utajiri, then anaomba hapohapo achangiwe fedha za kukichapisha. Akajibiwa asome kitabu chake maana ameandika hizo mbinu za kupata shilingi.
Kuzitafuta kwa udi na uvumba mpaka jasho linatutoka kila kona ya mwili!Shilingi ni serufi/sarafu nzito ya madini huzaa noti aina ya karatasi ndiyo sbb ya sisi kushindana kuzitafuta !!
Mwili wangu na wako upo mbalimbali lakini nyoyo zetu zipo PamojaKuzitafuta kwa udi na uvumba mpaka jasho linatutoka kila kona ya mwili!
Sana kama utakuwa muoga la sivyo ni ya kawaida
Kawaida inayoumizaSana kama utakuwa muoga la sivyo ni ya kawaida
Inayoumiza, ni nini?
Nini kilicho kufanya uchelewe kujiandikishaInayoumiza, ni nini?
Kujiandikisha kupiga kura ni haki yakoNini kilicho kufanya uchelewe kujiandikisha
Yako ukiwepo ukiondoka cha wenzako
Wenzako pia Wana haki ya kupataYako ukiwepo ukiondoka cha wenzako
Kupata mtaji ni moja ya changamoto ya vijana wengi, wanataka kuanza biashara.
Biashara hii siyo lele mama ukizubaa tu itakuwa kwako !!Kupata mtaji ni moja ya changamoto ya vijana wengi, wanataka kuanza biashara.
Kwako Mwalimu kashasha nasikia mkurgenzi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania kibarua kimeota nyasiBiashara hii siyo lele mama ukizubaa tu itakuwa kwako !!
Nyasi kama zote! na bado Jaffo kibarua kipo hatihati mama kaanza na upepo wa nguvuKwako Mwalimu kashasha nasikia mkurgenzi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania kibarua kimeota nyasi
Nguvu ni msukumo wa msimamo na Uamuzi..Nyasi kama zote! na bado Jaffo kibarua kipo hatihati mama kaanza na upepo wa nguvu
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Uamuzi upo juu ya yule mwenye MamlakaNguvu ni msukumo wa msimamo na Uamuzi..