Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,573
- 47,032
Iliosambaratika kimpango mwingine, kama Covid-19 kinavyotusambaratisha.. OyiSanaaah hiyo ni jahazi ilosambaratika !!
Sent using Jamii Forums mobile app
Iliosambaratika kimpango mwingine, kama Covid-19 kinavyotusambaratisha.. OyiSanaaah hiyo ni jahazi ilosambaratika !!
Oyi... niwashauri tuongeze tahadhari Convid19 hainaga mzaha!!Iliosambaratika kimpango mwingine, kama Covid-19 kinavyotusambaratisha.. Oyi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzaha mzaha,hutumbua Usaha .Walinena WahengaOyi... niwashauri tuongeze tahadhari Convid19 hainaga mzaha!!
Wahenga hawana lao tena hali ya sasa ni kujikimu maskani....Mzaha mzaha,hutumbua Usaha .Walinena Wahenga
Tu ni ile hali ya kuonyesha msisitizomaskani ya mateja ni mwendo wa unga na bangi tu.
Msisitizo wangu kwa waTZ ni utaifa never-die !!Tu ni ile hali ya kuonyesha msisitizo
Nani kasema shule zinafunguliwa tarehe 11/05/2020, ni maneno ya kizushi tu!Die hard fan wangu ni nani?
Die hard fan wangu ni nani?
Nini kitatuliza munkari !!alishajitoa kwa hiari yake sasa sijui mh. Sabufa anawaza nini?
Munkari ukipanda anaweza kukushikia panga mkuuNini kitatuliza munkari !!
Mkuu?
mweupe kama nini?