T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,174
- 28,322
Kubwa tamu ndogo inakelaItavuna umeme wa nguvu kubwa !!
"Enough of No Love"
Kubwa tamu ndogo inakelaItavuna umeme wa nguvu kubwa !!
Kubwa kuliko yote ni kule simba kutoka kiumeni hatua ya robo fainaliItavuna umeme wa nguvu kubwa !!
Fainali uzeeniKubwa kuliko yote ni kule simba kutoka kiumeni hatua ya robo fainali
Uzeeni bila wajukuuu hakueleweki
Hakueleweki hasa kama hukujipangaUzeeni bila wajukuuu hakueleweki
Hukujipanga? Mchawi ni Kikokotoo
KK'koto ipo ktk mikono Salaama Hadi kuwafikia walengwa!!Hukujipanga? Mchawi ni Kikokotoo
Walengwa ndio wanaoishi chini ya dola moja kwa sikuKK'koto ipo ktk mikono Salaama Hadi kuwafikia walengwa!!
Siku zijazo kutanyesha mvua zenye neema..Walengwa ndio wanaoishi chini ya dola moja kwa siku
Neema ni jina zuri la kikeSiku zijazo kutanyesha mvua zenye neema..
Kike au Kiki hao ni mamazet;dadazetu ;shanghazizetu;wakezetu na bibizetu wa damu...
Damu ni nzito kuliko majiKike au Kiki hao ni mamazet;dadazetu ;shanghazizetu;wakezetu na bibizetu wa damu...
Maji ya chemchem huwa Yana baraka na tiba !!
Tiba ya Ukimwi haijapatikana bado.Maji ya chemchem huwa Yana baraka na tiba !!
Bado mnaendelea tu na uzi huu???
Huu uzi ufutwe tuBado mnaendelea tu na uzi huu???
wp ndio nini?
Nini kilichokuleta na kutuchanganya....wp ndio nini?