Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,545
- 63,023
Mataa tena dada? We are one blood..1 hour sio mbali ujue. Okay! i'm waiting my brother. Ila usiniache kwenye mataa.
Trust me
Mataa tena dada? We are one blood..1 hour sio mbali ujue. Okay! i'm waiting my brother. Ila usiniache kwenye mataa.
Trust me nitakubeep kama hutapiga kaka. Nakuamini bana usijali kaka ake weye tena.Mataa tena dada? We are one blood..
Trust me
Tena, mgaagaa na upwa hali wali mkavu.Trust me nitakubeep kama hutapiga kaka. Nakuamini bana usijali kaka ake weye tena.
Mkavu ni samaki wa kukaushwa au kuanikwaTena, mgaagaa na upwa hali wali mkavu.
Mkavu ni samaki wa kukaushwa au kuanikwaTena, mgaagaa na upwa hali wali mkavu.
Mkavu ni samaki wa kukaushwa au kuanikwaTena, mgaagaa na upwa hali wali mkavu.
Kuanikwa sio kuzuri kabisa.
Kabisa, siku hizi nimeacha yale mamboKuanikwa sio kuzuri kabisa.
Mambo gani hayoKabisa, siku hizi nimeacha yale mambo
Hayo ya uchocheziMambo gani hayo
Maafa kwa wengine huwa fulsa
Wasalaam ndo ninawasubiria naona weekend imeanza mapemaMaafa kwa wengine huwa fulsa
Wasalaam!
Mapema nimerudi nyumbaniWasalaam ndo ninawasubiria naona weekend imeanza mapema
Nyumbani ni nyumbani. Kaka ake Mzima?Mapema nimerudi nyumbani
Mzima nashukuru habari za iddi ya kuchinja wakuuNyumbani ni nyumbani. Kaka ake Mzima?
Wakuu wamesusia huu uzi sijui kwa nini?.Mzima nashukuru habari za iddi ya kuchinja wakuu
Nini kilichowakimbiza, pengine wamebanwa na majukumuWakuu wamesusia huu uzi sijui kwa nini?.
Majukumu ya sikukuu yamewafanya wawe busy. Sie tupoNini kilichowakimbiza, pengine wamebanwa na majukumu