Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,119
Ughaibuni kuna neema kwa mhamiaji yeyote, kwanini nasema hivi? kwakuwa Allah (Muumba) kaahidi kuruzuku mtafutaji na mhamiaji popote walipo sasa changamkieni ujumbe msioujua !! !!!!Uhamiaji wa nchi za ughaibuni
yao ni kabila.Msioujua udikteta uchwara angalieni jinsi watu wanavyotetea udikteta humu jf ndio mjue jinsi wanavyojitetea makosa yao.
Yao yenyewe yanawashindaMsioujua udikteta uchwara angalieni jinsi watu wanavyotetea udikteta humu jf ndio mjue jinsi wanavyojitetea makosa yao.
Yao wanayajua wenyewe, siye yetu macho hadi litakapo lipuka !!Msioujua udikteta uchwara angalieni jinsi watu wanavyotetea udikteta humu jf ndio mjue jinsi wanavyojitetea makosa yao.
Yao wanayajua wenyewe, siye yetu macho hadi litakapo lipuka !!
Sana zaidi ya mchawiLipuka uwezavyo lakini unafiki ni kitu kibaya sana.
Mchawi hukumu yake ni kunyongwa mbele ya kadamunasi tena mchana !!Sana zaidi ya mchawi
Mchana watu wapo kutimiza msemo wa hapa kazi tuMchawi hukumu yake ni kunyongwa mbele ya kadamunasi tena mchana !!
tu times tu equals four.Mchana watu wapo kutimiza msemo wa hapa kazi tu
Four figuretu times tu equals four.
figure namba nane penda sana mimi.Four figure
Figure za wa beba vyuma vinashimiri kwa maBaunsa, Sasa vijana waanze kujenga mwili !!Four figure
Mwili haujengwi kwa matofaliFigure za wa beba vyuma vinashimiri kwa maBaunsa, Sasa vijana waanze kujenga mwili !!
Mimi nikimbie maana humo sipofigure namba nane penda sana mimi.
Matofali ya kuchoma hupunguza gharama za ujenzi !!!Mwili haujengwi kwa matofali
Maji ndiyo uhai.. Tanzania tumejaaliwa viyanzo vingi vya maji (mabwawa,maizwa,mito na bahari) Lakini shida ya maji ni tatizo sugu !!!!ujenzi awamu hii ya ngosha ni tia maji tia maji
Balaa humpata mtu aliyetenda maovu kesha akapuzia na kusahau alichofanya, hapo malipo yake ni kufikwa na masayibu kama si majanga !!!sugu mbunge wa mbeya anapenda totoz balaa