Wa mwisho ndiyo mshindi

Baada ya posts 10,367 na views 343,107 nimeona kwamba huu mchezo umeendelea sana, leo nimeamua kuumaliza kwa jibu hapo chini. Ninatoa challenge kwa mtu yeyote kuendeleza zaidi ya hapo kwa kiswahili kinachoeleweka. La sivyo tukubali yaishe nitangazwe mshindi!!!!!!


Vinyago vina bei huko ulaya


Ulaya tu?
 
Tu?unashangaa au unauliza....mchezo unaendelea....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…