Wa mwisho ndiyo mshindi

mpemba unaona majibu.ya wife material ,hii sentesi hata mkopo unaombea maana mke anajali
Ahahahahah kuwaza Nongo tuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ binti wa watu.kila. Anachoandika weww sentensi yako.zinakuja kivingine,

Mpaka kachoka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ahahahahah kuwaza Nongo tuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ binti wa watu.kila. Anachoandika weww sentensi yako.zinakuja kivingine,

Mpaka kachoka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
kafurahali banah🀣🀣🀣🀣cha msingi ni furaha acha kuwaza ngono mpemba
 
kafurahali banah🀣🀣🀣🀣cha msingi ni furaha acha kuwaza ngono mpemba
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Yaan. Nimecheka sana unakuta sentensi inasema

*""Nawewe unapenda dagaa wa mafuta""

Iceberg9 "" Mafuta nitakupaka kiuno chako......."""

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mpaka nasema hiko kichwa hiko
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 ngoja nisali niombe tobaπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…