manchoso JF-Expert Member Joined Jul 27, 2011 Posts 1,605 Reaction score 2,058 Dec 11, 2015 #7,301 Jimena said: Nnauye atasaidia kwenye goli la mkono Click to expand... mkono hawezi kutumia sababu waliohama ni mapumbavu
Jimena said: Nnauye atasaidia kwenye goli la mkono Click to expand... mkono hawezi kutumia sababu waliohama ni mapumbavu
V Vincon Senior Member Joined Jul 16, 2015 Posts 147 Reaction score 18 Dec 11, 2015 #7,302 manchoso said: mkono hawezi kutumia sababu waliohama ni mapumbavu Click to expand... mapumbavu ukitoa ma na vu unabakia na pumba.
manchoso said: mkono hawezi kutumia sababu waliohama ni mapumbavu Click to expand... mapumbavu ukitoa ma na vu unabakia na pumba.
Mangungo II JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 18,175 Reaction score 26,914 Dec 11, 2015 #7,303 Vincon said: mapumbavu ukitoa ma na vu unabakia na pumba. Click to expand... Pumba za lipumba zinafadhiliwa na lumumba.
Vincon said: mapumbavu ukitoa ma na vu unabakia na pumba. Click to expand... Pumba za lipumba zinafadhiliwa na lumumba.
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,234 Reaction score 39,967 Dec 11, 2015 #7,304 Lumumba kumejaa siasa za maji taka
Manjeta JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 393 Reaction score 239 Dec 11, 2015 #7,305 werrason said: Lumumba kumejaa siasa za maji taka Click to expand... Maji taka yalinyonywa sana siku ile ya uhuru
werrason said: Lumumba kumejaa siasa za maji taka Click to expand... Maji taka yalinyonywa sana siku ile ya uhuru
Dream Queen JF-Expert Member Joined Nov 4, 2015 Posts 8,261 Reaction score 18,256 Dec 11, 2015 #7,306 Manjeta said: Maji taka yalinyonywa sana siku ile ya uhuru Click to expand... Uhuru wetu ni wa bendera
Manjeta said: Maji taka yalinyonywa sana siku ile ya uhuru Click to expand... Uhuru wetu ni wa bendera
manchoso JF-Expert Member Joined Jul 27, 2011 Posts 1,605 Reaction score 2,058 Dec 11, 2015 #7,307 bendera yetu imepepea miaka 54 ni aibu tz bado masikini
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,234 Reaction score 39,967 Dec 11, 2015 #7,308 Masikini ni mlemavu, Tanzania kuna ufukara.
Mmanu JF-Expert Member Joined Feb 11, 2015 Posts 1,977 Reaction score 1,219 Dec 11, 2015 #7,309 Ufukara Tanzania ulemavu wapi?
manchoso JF-Expert Member Joined Jul 27, 2011 Posts 1,605 Reaction score 2,058 Dec 11, 2015 #7,310 Mmanu said: Ufukara Tanzania ulemavu wapi? Click to expand... wapi naweza nikapata msichana bikra?
Madame S JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 17,177 Reaction score 34,449 Dec 11, 2015 #7,311 manchoso said: wapi naweza nikapata msichana bikra? Click to expand... Bikira?? Huezi pata na ukimpata mlete makumbusho ya taifa
manchoso said: wapi naweza nikapata msichana bikra? Click to expand... Bikira?? Huezi pata na ukimpata mlete makumbusho ya taifa
manchoso JF-Expert Member Joined Jul 27, 2011 Posts 1,605 Reaction score 2,058 Dec 11, 2015 #7,312 Madame S said: Bikira?? Huezi pata na ukimpata mlete makumbusho ya taifa Click to expand... taifa hili naamin lina wasichana bikira wengi sana hasa vijijini
Madame S said: Bikira?? Huezi pata na ukimpata mlete makumbusho ya taifa Click to expand... taifa hili naamin lina wasichana bikira wengi sana hasa vijijini
mbiligenda Member Joined Dec 3, 2015 Posts 87 Reaction score 48 Dec 11, 2015 #7,313 manchoso said: taifa hili naamin lina wasichana bikira wengi sana hasa vijijini Click to expand... Vijijini huko ndo wametuangusha hadi lowasaa hajawa raisi wa Tanzania
manchoso said: taifa hili naamin lina wasichana bikira wengi sana hasa vijijini Click to expand... Vijijini huko ndo wametuangusha hadi lowasaa hajawa raisi wa Tanzania
manchoso JF-Expert Member Joined Jul 27, 2011 Posts 1,605 Reaction score 2,058 Dec 11, 2015 #7,314 mbiligenda said: Vijijini huko ndo wametuangusha hadi lowasaa hajawa raisi wa Tanzania Click to expand... Tanzania mjini na vijijin nawapa hongera kwa kutomchagua lowasa
mbiligenda said: Vijijini huko ndo wametuangusha hadi lowasaa hajawa raisi wa Tanzania Click to expand... Tanzania mjini na vijijin nawapa hongera kwa kutomchagua lowasa
Madame S JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 17,177 Reaction score 34,449 Dec 11, 2015 #7,315 manchoso said: Tanzania mjini na vijijin nawapa hongera kwa kutomchagua lowasa Click to expand... Lowasa so anachunga ng'ombe huko
manchoso said: Tanzania mjini na vijijin nawapa hongera kwa kutomchagua lowasa Click to expand... Lowasa so anachunga ng'ombe huko
manchoso JF-Expert Member Joined Jul 27, 2011 Posts 1,605 Reaction score 2,058 Dec 11, 2015 #7,316 Madame S said: Lowasa so anachunga ng'ombe huko Click to expand... huko zenji naskia sefu kafa
Madame S JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 17,177 Reaction score 34,449 Dec 11, 2015 #7,317 manchoso said: huko zenji naskia sefu kafa Click to expand... kafa lini mbona sina habari
Dream Queen JF-Expert Member Joined Nov 4, 2015 Posts 8,261 Reaction score 18,256 Dec 11, 2015 #7,318 Madame S said: kafa lini mbona sina habari Click to expand... Habari ya mjini kwa sasa ni baraza la Mawaziri.
Madame S said: kafa lini mbona sina habari Click to expand... Habari ya mjini kwa sasa ni baraza la Mawaziri.
Madame S JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 17,177 Reaction score 34,449 Dec 11, 2015 #7,319 everhurt said: Habari ya mjini kwa sasa ni baraza la Mawaziri. Click to expand... Mawaziri wataiweza kasi ya magufuli??
everhurt said: Habari ya mjini kwa sasa ni baraza la Mawaziri. Click to expand... Mawaziri wataiweza kasi ya magufuli??
Dream Queen JF-Expert Member Joined Nov 4, 2015 Posts 8,261 Reaction score 18,256 Dec 11, 2015 #7,320 Madame S said: Mawaziri wataiweza kasi ya magufuli?? Click to expand... Magufuli?? Aah kumbe ndio rais wetu, nimekumbuka.
Madame S said: Mawaziri wataiweza kasi ya magufuli?? Click to expand... Magufuli?? Aah kumbe ndio rais wetu, nimekumbuka.