Wa mwisho ndiyo mshindi

Alikatwa ndio na akija kwenye uspika atakatwa tu
 
tu tu sa wewe aliyekutuma uandike sentensi inayo isha kiugumu hivi ni nani?.. siku nyingine tutakuadhibu sawa sawa...
 
Wametapakaa kila kona si unajuwa makanisa siku hizi ni dili!
 
Dili zimekuwa dilishani baada ya magufuli kuanza kazi na kufuta ziara zote za viongozi za nje
 
Nyonyo siku hiz hata hazivutii, wakifikisha miaka 17 tu znakuwa zmelalaaa
 
Zinasimama kwa sababu trafiki kazisimamisha kupisha msafara wa Rais
 
Tanzania nchi iliyojaa kila kitu chema ila watu wake masikini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…