yellow eyes
JF-Expert Member
- Mar 6, 2018
- 2,882
- 3,293
Mmoja mmoja ndivyo maisha yanavoendaViwanda vitatu vinajengwa kwa mpigo mmoja..
Yanabana marobota ya Pamba ..
Yanabana wapi na wapi
Mkongo alitawaliwa na mBelegiji baadae akaja mFaransa kumzindua...
Mkongo mmoja aliyejichubua
Fafanua kwa kina haswa
Kiundani kunatokota bila kufuka Moshi..
Kiundani sana ufafanuzi wake unahitaji maarifa
Maarifa yanahtajika katika nyanja nyingi sanaKiundani sana ufafanuzi wake unahitaji maarifa
Moshi unatoka wapi tenaKiundani kunatokota bila kufuka Moshi..
Tena nilimsihi asiingie ktk mchezo ule mchafu..Moshi unatoka wapi tena
Kuchoka kwake kulimponza ..
Kuchoka kwake kulimponza ..
Kulimponza kama kutakavyo kuponza wewe kuto kulike majibu yangu