Wa mwisho ndiyo mshindi

akarekebika mwenyewe au kuna ulichomfanyia
"Ulichomfanyia" ni maneno pia alisikika akiyasema jiran yetu hapa aliyeachwa na mke wake. Daaaa lakin mkuu maneno yako ya mwisho mmmmh yananipa shida kweli kuanzisha sentensi, kweli wewe n talent fizo.
 
fizo ni talent kweli ila ngoja nikupe neno rahisi uendelee kunipa mkasa,ulimpa darasa gani au kipigo cha aina gani ambacho alielewa
 
nielewesheni nami nataka kujua kutoka kwa mkuu yellow eyes
Yellow eyes ndo mimi ngoja niwaeleweshe sasa
Huyu bi dada ilibidi tufikishane kwny baraza la watu wa hekima wakatushauri vizuri kabisa hatimae nae akaelewa akawa hanifanyii upuuzi tena na mambo yakaenda safi
 
safi mkuu changamoto kwenye maisha ya mahusiano zipo na zinatatulika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…