Moja mbili Tatu moja, gwaride litanyosha mistari kutoka kulia, kutoka kulia mistari nyosha mo mbi.. Dah nakumbuka kj michungwani, mkuu nakusalimu bhanah msalimie na sakayo nimewakumbuka sana napita tu kuwajulia hali, usiku mwemayanayojulikana ni kwamba wewe ni noma kwa vina, naomba twende tu studio tukarekodi track moja yenye verse moja
Unajua hata mie nakumiss Ila majukumu yamezidiSalmini hakika, nafurahi kusikia hivyo mrembo wangu sakayo, i miss you unajua
Meku au mae lazma wafurahi wakiyaona mahari ya binti yaoMahari ya sakayo ipo tayari,Zamiluni utanisindikiza kwa wakwe tafuta nguo utoke chicha mpaka wazee waseme ehh aika sana meku
Humu ndani mupo enhee basi ni jambo jema Dada miss you so much how was your days... Hope u doing alright, see you..Kibaruani tumewasili tayari twawajibika ,mmeamkaje humu
Sana mdogo wangu sio kwa ukimya huo jamaniBasi me naenda kulala, napita tu kuwasalimu wakuu nimewakumbuka sana
Usiku mwema na kwako pia mdogo wangu, umetutenga mnoMoja mbili Tatu moja, gwaride litanyosha mistari kutoka kulia, kutoka kulia mistari nyosha mo mbi.. Dah nakumbuka kj michungwani, mkuu nakusalimu bhanah msalimie na sakayo nimewakumbuka sana napita tu kuwajulia hali, usiku mwema
Ugomvi ni kawaida uswahini kwetuBondeni kwetu Leo kuna ugomvi
See you too my little brother, yap am alright. Missing you muchHumu ndani mupo enhee basi ni jambo jema Dada miss you so much how was your days... Hope u doing alright, see you..
Jamani mambo yamekuwa tight sana kiasi kwamba nashindwa pata hata muda wa kurefresh na wapendwa wangu but usijali tomorrow we shall be togetherSana mdogo wangu sio kwa ukimya huo jamani
Kwetu hali si shwariUgomvi ni kawaida uswahini kwetu
Pekee wapi pacha!!wanaojifanya vishababi nao wanataka humohumo km walisaidia kulipa mahari[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji32]Kimaisha hutakiwi kuleta mbwembwe pacha kwenye swala la mahari, lipia mahari kijana kisha mchukue baby ukaishi naye kimwana, kama unampenda mahari sio kitu whatever it is atakua ni wako pekee
Binti mwenyewe unamkuta makombo tu watu washafumua huko mpk imekuwa km kisimaMahari siku hizi imekuwa kubwa kama unauziwa binti
Binti mwenyewe unamkuta makombo tu watu washafumua huko mpk imekuwa km kisimaMahari siku hizi imekuwa kubwa kama unauziwa binti
Kisima chetu kina maji mengiBinti mwenyewe unamkuta makombo tu watu washafumua huko mpk imekuwa km kisima
Rahaa sana coz jamaa mshahara ushaanza kumshinda kuwalipa mabeki tatu wake pale mjengoniKumtaja taja ndiyo rahaa...,
Mwema our former IGP, niaje mpwa habari ya familia huko nyumbani wote wazima, wasalimie sana.Moja mbili Tatu moja, gwaride litanyosha mistari kutoka kulia, kutoka kulia mistari nyosha mo mbi.. Dah nakumbuka kj michungwani, mkuu nakusalimu bhanah msalimie na sakayo nimewakumbuka sana napita tu kuwajulia hali, usiku mwema