Wa mwisho ndiyo mshindi

Mahari kubwa itanishinda bora niwe bachelor tu mana wazazi wengi washafanya watoto zao wa kike km miradi ya kujikwamua kimaisha
Kimaisha hutakiwi kuleta mbwembwe pacha kwenye swala la mahari, lipia mahari kijana kisha mchukue baby ukaishi naye kimwana, kama unampenda mahari sio kitu whatever it is atakua ni wako pekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…