supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,970
Vice versa is true, simba mmoja hawezi kumuangusha tembo hata kama ni kwenye chanzo cha maji mtoni simba akimuona tembo anakimbia mbioTembo yaan kweli simba anamuogopa Tembo? I thought vice versa
Binadamu wana roho za kikatili kwenye ujangiliTembo katika serikali ya magufuli wanadhamiwa kuliko hata uhai wa binadamu
Ujangili umekithiri zaidi maeneo gnBinadamu wana roho za kikatili kwenye ujangili
Maeneo gani zaidi ya mbuga za wanyama Tanzania, ya kwanza ni serengeti, ngorongoro manyara na mikumi, Tanzania oyeee[emoji450] [emoji441]Ujangili umekithiri zaidi maeneo gn
Oyeee? Kwaiyo supermarket unasifia ujangili auMaeneo gani zaidi ya mbuga za wanyama Tanzania, ya kwanza ni serengeti, ngorongoro manyara na mikumi, Tanzania oyeee[emoji450] [emoji441]
Au sijaelewa?Oyeee? Kwaiyo supermarket unasifia ujangili au
Akushughulikie haswa.Au unataka tumwambie magufuli akushukulikie
Hiki ni kizazi kipya mkuuSijaelewa kwanini huu uzi upo busy kiasi hiki
Haswaa umenena vyemaAkushughulikie haswa.
Mkuu maeneno mazuri yakuishi yako usukumaniHiki ni kizazi kipya mkuu
Usukumani Hahaha ww msukuma nnMkuu maeneno mazuri yakuishi yako usukumani
Usukumani wanapenda ugali wa muhogo
Kikuu chuo cha udom ni kikubwa mnoMuhogo ndicho chakula chetu kikuu