Trouton
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 1,194
- 1,362
kuvuja kwa pakacha, nafuu ya mchukuziKahama haraka baada ya skendo chafu mtaani kuvuja
kuvuja kwa pakacha, nafuu ya mchukuziKahama haraka baada ya skendo chafu mtaani kuvuja
Sana sana utaolewa ukiwafuata wenye msimamo na maishaUkuwadi sio mzuri sana
Maisha ya sasa tofauti na miaka ya nyumaSana sana utaolewa ukiwafuata wenye msimamo na maisha
Nyuma yako ndo mwanzo wa uadui wa rafiki yakoMaisha ya sasa tofauti na miaka ya nyuma
rafiki yako wa sasa anaweza kubadilika na kuwa adui yako wa keshoNyuma yako ndo mwanzo wa uadui wa rafiki yako
Kesho ni siku ya jumatanorafiki yako wa sasa anaweza kubadilika na kuwa adui yako wa kesho
Jumatano ni juma tamuKesho ni siku ya jumatano
Tamu zote zinaanzia na herufi KJumatano ni juma tamu
K ni herufi ianziayo kwenye maneno mbalimbali ya lugha mbalimbaliTamu zote zinaanzia na herufi K
Mbali mbali Sana Kama mafuta na majiK ni herufi ianziayo kwenye maneno mbalimbali ya lugha mbalimbali
Maji ya mto Nile yanaanzia ziwa VictoriaMbali mbali Sana Kama mafuta na maji
Victoria ni jina la msichana mzuriMaji ya mto Nile yanaanzia ziwa Victoria
Mzuri wa sura au n mzuri wa nini?Victoria ni jina la msichana mzuri
Nini hasa kimepelekea kuulizaMzuri wa sura au n mzuri wa nini?
Kuuliza nimeuliza ili anifafanulieNini hasa kimepelekea kuuliza
Unifafanulie kwanza msingi wa swali lako halafu nitakufafanulia uzuri wakeKuuliza nimeuliza ili anifafanulie
Wake kwa waume kwny huu Uzi ili uwe mshindi lazma uwe makin na kuunganisha maneno ya mwisho. Btw niltaka kujua uzuri wa mwanamke n upi?Unifafanulie kwanza msingi wa swali lako halafu nitakufafanulia uzuri wake
Upi msimami wa rais wa Tnzania kuhusu ushogaWake kwa waume kwny huu Uzi ili uwe mshindi lazma uwe makin na kuunganisha maneno ya mwisho. Btw niltaka kujua uzuri wa mwanamke n upi?