Crumpy Crumper
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,351
- 3,296
Tawala za mikoa na serikali za mitaa ndio kirefu cha TAMISEMIMpya inaweza kuja lakini ikabeba maslahi ya tabaka tawala
Tawala za mikoa na serikali za mitaa ndio kirefu cha TAMISEMIMpya inaweza kuja lakini ikabeba maslahi ya tabaka tawala
TAMISEMI wizara inayoongozwa na Suleiman JafoTawala za mikoa na serikali za mitaa ndio kirefu cha TAMISEMI
Jafo anasaidiwa na nani kwenye hiyo wizara?TAMISEMI wizara inayoongozwa na Suleiman Jafo
Hizi? Hapana kuna nyingineMadaraka Nyerere yuko wapi siku hizi?
Nyingine kubwa ya leo ni Simba kusokomezwa na mbao nene.Hizi? Hapana kuna nyingine
Nene ukiilinganisha na ipi nyembamba?Nyingine kubwa ya leo ni Simba kusokomezwa na mbao nene.
Nyembamba ilikua ni NdandaNene ukiilinganisha na ipi nyembamba?
Ndanda fc ina undugu na Ndanda Kosovo?Nyembamba ilikua ni Ndanda
Ndanda Kosovo alikuwa ni mwanamuziki mzuriNdanda fc ina undugu na Ndanda Kosovo?
Mzuri kuliko mzee wa kitamba cheupe King Kikii?Ndanda Kosovo alikuwa ni mwanamuziki mzuri
King Kikii hivi ni Mkongo au MtanzaniaMzuri kuliko mzee wa kitamba cheupe King Kikii?
Mtanzania ni mtu muoga muoga na muongo masaa yoteKing Kikii hivi ni Mkongo au Mtanzania
Mtanzania mwenye asili ya KongoKing Kikii hivi ni Mkongo au Mtanzania
Kongo na Tanzania ipi inaongoza kwa DemocracyMtanzania mwenye asili ya Kongo
Demokrasia Afrika ni kitendawili kisicho na jibuKongo na Tanzania ipi inaongoza kwa Democracy
Jibu analo Mungu pekeeDemokrasia Afrika ni kitendawili kisocho na jibu
Mungu pekee ndio muweza wa yoteJibu analo Mungu pekee
Yote kheri, tushukuru kwa kila jamboMungu pekee ndio muweza wa yote
Jambo jema halifanywi kwa paparaYote kheri, tushukuru kwa kila jambo
Papara haifai katika hii awamuJambo jema halifanywi kwa papara