Wa mwisho ndiyo mshindi

Kushuka ni ndoto kulinganisha na bei za vyakula zilivyopanda, hii ni kwa sababu uchumi kuwa mbovu kutokana na mfumo wa uongozi.
Uongozi huu ni wa ajabu, sijapata kuona kokote duniani, yaani wanaogushi vyeti ndio halali kukalia ofisi za serikali? Huu ni ubashite..
 
Ubashite uliopitiliza tena hauna kifani, anasema yeye hateui viraza eti leo anasema ujue kusoma na kuandika!?
Kama hicho kingekuwa kigezo asingehangaika kusoma hadi Phd ya maganda ya korosho.
 
Usijali Zamiluni, ila najuta sana tangu nihitimu elimu yangu ya msingi muongo mmoja uliopita hadi sasa bado nahangaika, ningejiingiza kwenye siasa saiv ningekuwa mteule wa mkulu. Maana tayari nilikuwa nishajua kusoma na kuandika
Kuandika riwaya au kusoma hadithi za AbuNuwasi !!!
 
Back
Top Bottom