Wa kuogopwa Clouds sio Ruge au Kusaga

Wa kuogopwa Clouds sio Ruge au Kusaga

Joined
Sep 1, 2017
Posts
24
Reaction score
21
dsc_0773-jpg.586175

DSC_0773.jpg

Watu wengi wakisikia Clouds ina beef na msanii au mtu yeyote akili zao moja kwa moja zinawatuma kwa Ruge na Kusaga. Ukweli ni kwamba anaefanya kila kitu kinachohusu utendaji ndani ya Clouds Media Group ni mwanadada Fauzia. Huyu ndiye mastermind wa kila kitu kinachofanyika mjengoni kuanzia uajiri, nani atangazwe, nani apate udhamini, ajira nk.

Fauzia cheo chake kwa haraka utadhani ni msaidizi wa Ruge na aliwahi kuwa msaidizi wa Kusaga mwanzoni, baada ya muda kutokana na uchapakazi wake majukumu yameongezwa anafanya kazi za operation anahakikisha kila kinachofanyika kina mkono wake.

Ukichukiwa na Fauzia kama ni mtangazaji jua maisha yako ni magumu, waulize Asmah Makau, Regina Mwalekwa, Doreen Andy, Anorld Kayanda na wengine walioishia kukalishwa benchi au “kupangiwa kazi nyingine”

Msanii ukizinguana na Fauzia habari yako ndo imefikia mwisho, mfano mzuri ni Ruby ambaye wengi wanadhani ugomvi wake na Zamaradi ndio ulisababisha lakini ukweli ni kwamba Fauzia ndiye kampiga pini. Kuna orodha kubwa ya wasanii ambao wamekuwa blacklisted nyimbo zao hazipigiwi kwa sababu walitaka kumpanda kichwani. Hata Diamond majuzi alipoanzisha bifu na Kiba alijikuta wimbo wake mpya wa Zilipendwa hauchezwi sana kulinganisha na ule wa Kiba, akanyimwa interview ya kuutambalisha katika XL kwa sababu tu alitofautiana lugha na Fauzia.

Kama ni event organizer wa bongo unataka udhamini wa Clouds kama media partner hakikisha uko vizuri na Clouds. Muulize muandaaji wa nyamachoma festival ambavyo mara kadhaa alijikuta akikwaa kisiki kutokana na kuzinguana na Fauzia.

Na mwisho kabisa usiwaze hata siku mmoja kwenda kwa Ruge au Kusaga unaposhindwa kuelewana na mwanadada Fauzia, tafuta mtu awapatanishe maana bila hivyo sahau kufanya kazi na Clouds.

Huyu ndiye Fauzia Kurane, the woman who leads from behind and make things happen.
 
Kumbe mkurugenzi n fauzia na wala co Ruge kwa mujibu wa statement zako!!!!

Ninavyojua mm boss ndio final say!!!

Na hakuna wa kubishana nae?!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona hueleweki, sasa umeona wapi msaidizi yupo juu ya alijuu yake? em hacha kutupotezea muda kukomenti
Mbona inawezekana mkuu , mara huwa ni Wa jinsia ya kike.

Utajikuta unapokea tu amri kutoka kwake kwa kujifanya kama anakushauri.
 
Anaakili mbovu sana kama ndio hivo.. Na wasivyo na aibu wanajitangaza radio ya watu wakati inaendeshwa kwa wenge la mtu mmoja..
 
nguvu ya mwanamke safi sana fauzia.wanaume sio watu wa kuonea huruma
 
Ndio maana nashangaa wimbo wa zilipendwa haupigwi ndo hadi nikawa najiuliza ni mbaya kiasi hicho kuliko wa seduce kiba
 
Back
Top Bottom