Kweli hapo shida kubwa ila yote hayo chanzo chake ni attitude ya uvivu tu, hakuna lingineMimi sijakataa kuwa masikini aside mtoto wa Tahiti ila awe mtoto wa kiume asiwe tegemezi kisa baba mkwe anamkwanja. Unakuta baba amebadilisha gari unamwambia binti yake aombe ile ya zamani iwasukume, haya ndiyo mambo ya kujitia aibu.
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa umenifumbua macho ya kwanini mim tu ukweni ndiyo huwa natumwa. Nilikuwa nahisi ni kwa sababu ya uaminifu wangu kumbe hamna kitu
Huku nako inabidi utumie akili ya ziada, usipoangali utafanya kazi mpaka kufikia pension unalisha matumbo ya watu.Wengine tumeoa ukweni ambako mambo ni magumu kimtindo sasa majukumu yote unabeba wewe.
Mke wako unampenda lakini sasa kwao ndo ivo hakuna namna inabidi usaidie.
Wanaume wenzangu mliobahatika kuoa kwenye familia mambo safi basi tumieni hizo fursa vizuri maana wenzenu tumebebeshwa majukumu makubwa kweli kweli
Wakati story na washkaji zimenoga unasikia unaitwa na baba mkwe, unafika unaambiwa Lori la mkaa limefika ukasaidie kushusha magunia. Wale ulikuwa unapiga nao story wote walileta vyakula msibani ni wewe tu ndiyo ulikwenda kama mwanaume suruali.
Kama ndiyo mnaanza maisha sawa lakini kama inaelekea kuitwa babu bado uko hapo fikiria tu kama angekuwa ameipangisha angejisaidia mangapi? Ukizingatia uzee unakuja na magonjwa mengi mwache awe na pesa ya kwenda Hindu Mandal kwa check-up bwana.Hizi thread hua sipendi kuzichangia kabisa, maana hata hapa naishi kwenye nyumba ya baba mkwe.....[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Unajiona umeyapatia saaana maisha sio,hio mali unayoiona hapo ni mzee wako kapambana badala ukaze msuli unabweteka na mali ya mzee,mwanaume mzima unakaa unasikiliza sim za mama yako anaongea na nanAcha tu kuna fala kaoa kwetu eti wakipata shida huko unaskia anamwambia dada em jaribu kuongea na mama kama ataweza kutusaidia. Sasa kuna siku nilisikia dada anapiga mzinga kwa mama, nilichokifanya ni nilmpgia cm mume wake nikamwambia kiume tu inabidi afanye kazi kwa bidii hawezi kumtegea mama amtunzie familia. Najua alimind lakini nilimchana tu ukweli
Halafu na nyie wadada kuna wakati mnazingua kweli yaani unakuta mtu hana lile wala hili na wazazi wanakwambia usiolewe nae lakini wewe unajifanya ndio umezima kwake na maisha yakianza kukuzimia unaleta taabu nyumbani kwenu.
Mkuu hii ndio jamii ya vijana tuliyonayo na yy anajisifia eti ni mwanaumeChunga mdomo wako brother uwezi mwita shemeji yako fala?
Kitendo cha kumpigia simu ulitokota kwa nini usingempigia Dada yako umueleze huna hekima hata kidogo.
Mungu ndiye anayepanga aolewe na nani sio wewe imagine huyo tajiri unaetaka aoe kwenu angemletea ukimwi ndo ungefurahia acha utoto think big Mkuu.
Mkuu....Kama ndiyo mnaanza maisha sawa lakini kama inaelekea kuitwa babu bado uko hapo fikiria tu kama angekuwa ameipangisha angejisaidia manganite? Ukizingatia uzee unakuja na magonjwa mengi mwache awe na pesa ya kwenda Hindu Mandal kwa check-up bwana.
Comrade basi uwe unalipia matibabu ya mzee akiumwa amekustiri sana mjini hapa.Mkuu....
Mihapa sihami pamoja na uzee wangu. Zaidi naganya mpango ili Mzee atangulie mapema, ili nijimilikishe kabisaaaaaaaaa hili pagala.....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Wewe hiyo ndio sifa ya kuwa mwanaume otherwise hufai kuitwa Hilo Jina and you suppose to stay alone for the rest of ur life... Refer to Creation when God created Adam he gave him everything including job to oversee everything... After ndio akampa Eva... Eva alikuta mambo safi kwa Adam...Na wale wadada wanaotaka mwanaume mwenye nazo au kwao mwanaume kuwe vizuri tuwasemeje siyo tegemezi?
Mkuu yaani umeekaa nyumbani unategesha masikio kujua leo shem wako kamuagiza nini dada ako....ujui kuwa ari huwa inabadilika? Sasa siku ikitokea uyo shem wako mambo yakawa safi ukaenda kukaa kwake utajisikiaje nae akikwambia maneno kama uliyomwambiaAcha tu kuna fala kaoa kwetu eti wakipata shida huko unaskia anamwambia dada em jaribu kuongea na mama kama ataweza kutusaidia. Sasa kuna siku nilisikia dada anapiga mzinga kwa mama, nilichokifanya ni nilmpgia cm mume wake nikamwambia kiume tu inabidi afanye kazi kwa bidii hawezi kumtegea mama amtunzie familia. Najua alimind lakini nilimchana tu ukweli
Halafu na nyie wadada kuna wakati mnazingua kweli yaani unakuta mtu hana lile wala hili na wazazi wanakwambia usiolewe nae lakini wewe unajifanya ndio umezima kwake na maisha yakianza kukuzimia unaleta taabu nyumbani kwenu.