Joseph
JF-Expert Member
- Aug 3, 2007
- 3,518
- 1,090
Haijalishi upo wapi ila ukweli unabaki kuwa mapenzi hayachagui,hao unaosema ni madada poa tulionao huku hata dada zetu wapo wadada poa na inawezekana wachina waliwapata kwa njia hiyo hivyo sioni ajabu.Wewe unajua mimi niko wapi? Acha ujivuni wa kishamba. Hao wadada wa kichina mnaotembea nao huko si ni "madada poa" ...au wale tunawaita society rejects. Embrace your culture and be proud of it.