Sipati shombe shombe wa Kichina anavyokuwa..vimacho vyao!!
Acha dharau na ubaguzi kijana.
Eddy Francis, Football player |
Acha dharau na ubaguzi kijana.
mKUU ASISEME UKWELI ANAVYOJISIKIA!?
Unaelewa maana ya ubaguzi kweli?kweli tuna safari ndefu,kusema vimacho vyao we unaona ubaguzi
akili gani hizi.
Kawaida katika maisha ya wadada,hata wataliano walipokuja kujenga barabara ya Isaka-kwenda Rwanda waliacha masalia yao mengi tu kandokando ya barabara ile...