Wa CHINA sasa waanza kuchukua DADA ZETU

chinese-man-with-black-african-women-300x200.jpg

Hii nahisi itakuwa ni Angola, dada amekaa kama ni shembe flani halafu na huko Wachina wajeaa sana
 
sasa kwanini umeweka alama ya kukasirika kwenye uzi huu! kwa maana hautaki wadada zetu wakaolewa huko?
 
Sioni kama ni tatizo kwenye ulimwengu huu wa utandawazi,tatizo ni sisi wenyewe hatueleweki kwenye mila au destruri kama tunafuata patrilinial au matrilinian family maanathat why hatutetei haki za watoto zetu na dada zetu wanapozalishwa na wamataifa mengineyo
hawa jamaa watajaa bongo na kama wameanza hivyo tena ni balaaaaaaaaa!:A S angry:
 
Wadada wenyewe wanauza jero jero tu pale UDOM. Sasa unafikiri wa mtaani auze bei gani kama sio mia mia? Na Mchina kama unavyomjua kwa kupenda cheap.
 
Wadada wenyewe wanauza jero jero tu pale UDOM. Sasa unafikiri wa mtaani auze bei gani kama sio mia mia? Na Mchina kama unavyomjua kwa kupenda cheap.

ahaaaaaaaa..!!jamani cheap mpaka kwenye K..waache mambo yao bwana..wao c wawekezaji bwana..!!
 
ahaaaaaaaa..!!jamani cheap mpaka kwenye K..waache mambo yao bwana..wao c wawekezaji bwana..!!

Maeneo ya kule kwetu walikuwa na kandarasi ya kujenga barabara ya lami, nikaskia madem wa mitaa ile wakilalamika eti wachina wanamaindi sana "shirikisho". Yaani Mchina mmoja akimlipa dem chapaa basi ujue dem anaenda kuliwa na mchina zaidi ya mmoja kwa bei hiyo hiyo. In fact wale ni Wajamaa haswaa ndio maana wanafanikiwa sana mambo yao. Sisi wabongo inaelekea ni wachoyo mno, ndio maana mikasa inayoambatana na wivu wa mapenzi ipo mingi, ukiachilia mbali kesi za ugoni zilizoko Mahakamani.
 
Sioni tatizo kwa watu wa mataifa tofauti kuwa na mahusiano na kuishi pamoja
Kama huoni tatizo basi wewe pia ni tatizo. Uwiano umekaaje? Sijaona hata picha moja hapo ya dada Yao wa Kichina akiwa na Mbantu! MiAfrica ulimbukeni umetuzidi.
 
Duh sema mwanaume anayepata demu wa kichina ndo anafaidi aisee manaake wamejaliwa wale acha tu!
 
Kama huoni tatizo basi wewe pia ni tatizo. Uwiano umekaaje? Sijaona hata picha moja hapo ya dada Yao wa Kichina akiwa na Mbantu! MiAfrica ulimbukeni umetuzidi.
Inawezekana nikawa ni tatizo kama ulivyosema ingawa kujua tatizo langu yafaa pia ujue nilipo,nafanya nini,naishi na watu wa aina gani baada ya hapo ndio unaweza kutamka kuwa nina tatizo,ila ukweli unabaki tu kuwa mapenzi hayachagui,wapo wanaume wengi tu weusi wanatoka na wadada wa kichina ila kwa mazingira ulipo ni nadra kuyaona haya.
 
ooh na mubongo kumpata mchina kaz xana lakini wao wanachukua dada zetu kiulani dah tz
 
Inawezekana nikawa ni tatizo kama ulivyosema ingawa kujua tatizo langu yafaa pia ujue nilipo,nafanya nini,naishi na watu wa aina gani baada ya hapo ndio unaweza kutamka kuwa nina tatizo,ila ukweli unabaki tu kuwa mapenzi hayachagui,wapo wanaume wengi tu weusi wanatoka na wadada wa kichina ila kwa mazingira ulipo ni nadra kuyaona haya.
Wewe unajua mimi niko wapi? Acha ujivuni wa kishamba. Hao wadada wa kichina mnaotembea nao huko si ni "madada poa" ...au wale tunawaita society rejects. Embrace your culture and be proud of it.
 
Back
Top Bottom