W.J Malecela anatetea hata wezi wa kura ili mradi yeye apate kura kutoka kwao

- Mkuu read my lips, huwa sijui kuchanganya maneno; ninasema hivi Mahanga ni mbunge wangu Segerea, mimi ni mkazi wa Kinyerezi, kama mbunge amelifanyia jimabo langu mambo mengi sana muhimu kwa wananchi kwa hiyo ninam-support sana kama mbunge.

- Baaada ya kuishi sana nje yaani Europe na USA, one thing nilichojifunza sana huko ni kutomhukumu mwananchi yoyote bila facts, na hasa kesi inapokuwa mahakamani kama hii ya Mahanga, ninasema kwamba ule mfano wa yule mkuu wa IMF unapaswa kuwa ni elimu kubwa sana kwa wasomi wote Duniani kwamba innocent until proven guilty, Mhanga akihukumiwa na mahakama kwamba ni mwizi wa visanduku vya kura nitakuabliana na wewe, lakini until then ninasema kumuhukumu ni kuwa unfair!

William @Dodoma City!

mwambie mama yako wa kambo yule mtoka povu, alinikera kushupalia wakuu wa wilaya (makada) kuandaa katiba. Namchukia sana.
 
Gamba jipya, we huwezi kuelewa adha tunayoipata waTZ wa hali ya kawaida, nyie watoto wa wakubwa mnaishi pepo ndogo nchini na nje ya nchi kwa kutumia rasirimali zetu,mnatuumiza sana basi tu hatuna cha kufanya.

Mi ndiyo maana nasema William hana tofauti na Rizwan, Sioi, Nape and the like. Kwanza yeye alipata Division IV. Watoto wa makabwela ambao alisoma nao na wakapata Division IV wengi wao leo ni wapiga debe, wauza mitumba, waendesha Boda boda etc. Ni bahati mbaya tu kwamba Baba yake William alicheza karata kwa kutumia nafasi aliyokuwa nayo akamfikisha mwanae hapo alipofika. Ndio maana mimi nasema William Malecela is just empty heard. Kama angekuwa ni mtoto wa maskini leo hii angekuwa ni Mwendesha Boda Boda wala asingekuwa anagombea Ubunge wa Africa Mashariki!

Nepotism ndiyo imemfikisha hapo!
 
mwambie mama yako wa kambo yule mtoka povu, alinikera kushupalia wakuu wa wilaya (makada) kuandaa katiba. Namchukia sana.

Hatazeeka saaaana kabla hajatemewa kohozi usoni kwa kosa hilo, mlonjelaje alichikoma se!!!!
 
Kuna thread moja iliyokuwa inaelezea jinsi mbunge wa segerea alivyo changanyikiwa kutokana na ile kesi yake ya wizi wa kura lakini le baharia anamtetea sana kwa vile anataka kura yake kwenye ule ubunge wa afrika mashariki

" Well, Great Thinkers tujifunze kujadili kwa kutumia haki na fairness, kwamba Mbunge Mahanga amechanganyikiwa it is far from the truth jana nilikuwa naye he is just fine na si kweli kabisa, innocent until proven guilty hajahukumiwa bado kesi ipo kwenye mikono ya sheria, sasa common sense ni kusubiri matokeo kwanza badala ya kujaribu ku-influence matokeo.

- Mahanga ni Mbunge wangu, nina makazi yangu kata ya Kinyerezi, jimbo la Segerea sasa mambo kama haya muwe mnatuachia tuwafahamisheni uwezo wa mbunge na udhaifu wake, Mhanga has done a lot kwa jimbo la Segerea, ikiwa ni pamoja na kulipunguza sana tatizo la maji, amejaribu sana kurekebisha bara bara na mara ya mwisho nilimsisitiza kutengeza bara bara ya kutoka relini Majumba Sita kwenda Segerea akanielimisha sana kwamba kwa nini bado haijatengenezwa na kwamba ana uhakika kuwa itatengenezwa.

- kwamba amechanganyikiwa, sio kweli he is fine unless kuna something else I am missing here!, tuwe wakweli tuachane na upotoshaji.

William."

Watu kama wewe hawafai kuishi coz hawana manufaa yoyote kwa Taifa.
Wewe unamtetea fisadi! Mahanga hajaleta maji kabisa! Barabara ya segerea Bonyokwa ni hovyo kabisa
Barabara ya S/sheli Majumba sita ambayo ndiyo anayopita kila siku mpaka daraja limesombwa yeye hajui
Barabara ya vingunguti baracuda/Chang'ombe ambayo kwenye ILANI yao kuwa ndani ya mwaka mmoja ingejengwa kwa lami nayo tabu. Halafu yeye mwenyewe kajenga eneo la soko. Je,wewe unamsifia kwa lipi? Na wasiwasi kama kweli unamsifia lazima wewe mwenyewe ni fisadi kwelikweli.
 
Kama mpendazoe asingeibiwa kura zake muda huu ungekuta unamsifia ili upate kura yake

Ndiyo maana nasema William Malecela ni mnafiki. Alikuwa anawatukana sana kina Slaa na Mbowe hapa jamvini. Juzi juzi akaanza kujikosha mara Oooh niliwahi kumsaidia Mbowe alipopata ajali Surrender Bridge nikampeleka Muhimbili. Alafu tena akaanza kujikomba kwa Nassari eti Oooh Nassari is great wakati alikuwa anampamba Sioi dhidi ya Nassari kwenye kampeni za humu JF!
 
huyu jamaa hafai kabisa, kwanza siasa za Tanzania hazijui kakaaa sana nje huyu. Ni mzigo tu

Miaka yote 20 aliyokaa nje ya nchi, William alichoambulia na kurudi nacho nchini Mabegi aliyoyajaza mashati na Tshirt zilizopigwa charter za Snoop Dogy Dogy, II Park, 50 Cent, etc!
 
La Makongoro kuleta maendeleo huko Segera na Kinyerezi ni kweli. Amejitahidi kijenga barabara hata hiyo ya Majumbasita kwenda Segerea na kuunganisha tabata ni ya lami. Kwa sasa Kinyerezi kuna barabara nzuri sana za morrum na makalavati mengi yamejengwa. Hayo yote yamefanyika chini ya Mahanga. Pamoja na hayo, kesi inaonekana kumkalia vibaya.

Na wasiwasi Masaburi akikusikia atatueleza unafikiria kwa kutumia nini.
Maana kama ni kutumiwa basi wewe nizaidi ya kutumiwa. Kama anafaa nmbona haukumpigia kura akaishia
kubeba maboksi na kwa taarifa yako kesi hii hatoki mtu ambaye phd yake hajaipeleka TCU kampelekea mkewe
 
William rafiki yangu wewe ni mkazi wa jimbo gani hasa kati ya haya mawili??? Mtera na Segerea??? be specific tafadhali ili tuanze kukupigia ndogondogo kwa ajili ya 2015, otherwise unatuchanganyaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Ninawachukia watoto wote wa viggogo wanaotumia nafasi za wazee wao kuingia kwenye siasa.

Innobwoy,
Mtoto pekee wa Kigogo nchini mwenye akili timamu ni Rachel Mashashanga (MB). Huyu alisomeshwa na Baba yake vizuri alipohitimu akang'amua wazi wazi kwamba Chama cha Baba yake hakikuwa chama sahihi kwake na kwa Taifa kwa ujumla kwa sasa. Akajiunga nasi katika harakati za Opereshini Sangara kipindi kile na leo ni Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA.

Sasa hawa kina William, Nape, Rizwan, January hawana akili kichwani. Wamekuwa wakubwa wanang'ang'ania u CCM kisa eti ni chama cha Baba. Na watu kama hawa wangezaliwa Baba zao ni Wanachama wa TLP na wao wangekuwamo humo humo. Baba ni mwanachama wa UPDP nao wangekuwamo humo humo. Baba mwanachama wa SAU nao wangukuwamo humo humo. Yani hawawezi kuthink beyond their father's capaciy! Ukomo wa akili za Baba zao ndio ukomo wa akili zao.
 
- Kelele zake na wapiganaji wengine zimesababisha Kiwira kurudishwa kwa taifa, kama una tatizo naye for that so be it!

William @Dodoma City!

kwa hiyo kwa akili zako unatetea utawala wa kelele?
tunataka waliochukua kiwira waende mbele ya pilato.
nipe msimamo wako si kusema mama yako alipiga kelele.

kuhusu mahanga ni nani aliyekutuma jamvini kumtetea wakati unajua kesi ipo mahakamani?huoni hapo umeiingilia mahakama?je sisi aliyetutuma tuibe kura tukitoa maoni utasema tunaiingilia mahakama?
 
Kuna thread moja iliyokuwa inaelezea jinsi mbunge wa segerea alivyo changanyikiwa kutokana na ile kesi yake ya wizi wa kura lakini le baharia anamtetea sana kwa vile anataka kura yake kwenye ule ubunge wa afrika mashariki

" Well, Great Thinkers tujifunze kujadili kwa kutumia haki na fairness, kwamba Mbunge Mahanga amechanganyikiwa it is far from the truth jana nilikuwa naye he is just fine na si kweli kabisa, innocent until proven guilty hajahukumiwa bado kesi ipo kwenye mikono ya sheria, sasa common sense ni kusubiri matokeo kwanza badala ya kujaribu ku-influence matokeo.

- Mahanga ni Mbunge wangu, nina makazi yangu kata ya Kinyerezi, jimbo la Segerea sasa mambo kama haya muwe mnatuachia tuwafahamisheni uwezo wa mbunge na udhaifu wake, Mhanga has done a lot kwa jimbo la Segerea, ikiwa ni pamoja na kulipunguza sana tatizo la maji, amejaribu sana kurekebisha bara bara na mara ya mwisho nilimsisitiza kutengeza bara bara ya kutoka relini Majumba Sita kwenda Segerea akanielimisha sana kwamba kwa nini bado haijatengenezwa na kwamba ana uhakika kuwa itatengenezwa.

- kwamba amechanganyikiwa, sio kweli he is fine unless kuna something else I am missing here!, tuwe wakweli tuachane na upotoshaji.

William."

Mara nyingi wanaume wenye tabia za kike utawagundua katika mambo ya kijasiri..!! Yupo radhi kuwasaliti wenzie ili mradi apate nafasi ya kujiweka sehemu nzuri. Ukisikia kijana mtanashati wa hoja anakimbilia kupakatwa na wazee kwenye siasa za unyonyaji kwa kutumia migongo wa wazazi wake au kujuana juana pasipo kuwashirikisha wananchi walio wengi ni wa kumwepuka. Hawezi kulisaidia Taifa kwa lolote, Anaingia kwenye siasa ili kujineemesha na kuendeleza unyonyaji ambao hauna nafasi kutokana na ugumu wa maisha tuliyo nayo. Hawa ni wabinafsi. Wakati yupo nje alionekana ni mwenye kuchangia hoja za kimageuzi na kimaendeleo lakini sasa kafika Tanzania kwa ulafi wa kutaka madaraka anajaribu kutetea hoja na sheria ambazo anajua wazi kwa Tanzania sheria hizo zinawagusa na kuwakandamiza wanyonge. Atapata ubunge wa EA lakini atambue kwamba watanzania wanahitaji mabadiliko na si unyonyaji, Siasa za kupeana peana hazina nafasi endapo zitakuwa ni kwa manufaa ya wachache.
 
Kweli W.J Malecela nimamini wewe upo chuma unamwagiwa mitusi mpaka kupitia kwa wazazi wako lakini Hapa JF hubanduki kwa hilo nakupa sifa nafikiri ulikuwa baharia kwenye meli za Kigiriki naona bora niondoke nisije nikapata ban

we kaka ni mgeni na roho za kifisadi?
nitajie fisadi aliyewahi kukata tamaa hata akimwagiwa maji ya moto?kuna mmoja ametuambia juzi kuwa yeye ni mwanasheria aliyebobea na yupo siku nyingi kwenye system huku akijua kuwa ni mchafu mpaka haonekani bila darubini.
mwingine uso wa mbuzi yeye anahangaika kwenye nyumba za ibada bila aibu.

enzi za mwalimu ni mtanzania gani angehangaika kutumia rasilimali zake na hata ulaghai kutafuta kutumikia watu?

watanzania tuwe makini sana na watoto wa viongozi waliolifikisha taifa utumwani.
 
- Great Thinker, unajua kwamba Mpendazoe sio mkazi wa Segerea aliamua tu baada kujibanza pale ili agombee ubunge, otherwise kwani sheria ya jamhuri inasema nini on this ishu? Maana sometimes tuwe tunajadili na facts zaidi!

William @Dodoma City!

acha uzushi mpendazoe ameishi tabata kwa muda mrefu sana ata watoto wake nimesoma nao shule ya msing tabta miaka ya 90s.acha kudanganya wengne kama unabisha njoo changombe uliza kwa mpendazoe utapelekwa
 
I dont trust William....

He is not stable, he is just one of those dudes who would do anything to get something and change the goal posts just to fit a new interest regardless of any impact or rist assessment

KWA SASA ANAHANGAIKA BUNGENI NA MAPICHA-PICHA KAMA VILE TUNAOPIGA KURA NI JF

UNFORTUNATELY SIASA ZA TANZANIA, NA HASA ZA WABUNGE WETU WA SASA NI HIZO ZA KINA ISHA MASHAUZI NA SHILOLE
 
Hata hapa bado unatetea wezi ili wakuchague na wewe uingie kwenye system uungane na wezi wengine.
Wote waizi tu

dodoma@kinyerezi.segerea
- Mkuu read my lips, huwa sijui kuchanganya maneno; ninasema hivi Mahanga ni mbunge wangu Segerea, mimi ni mkazi wa Kinyerezi, kama mbunge amelifanyia jimabo langu mambo mengi sana muhimu kwa wananchi kwa hiyo ninam-support sana kama mbunge.

- Baaada ya kuishi sana nje yaani Europe na USA, one thing nilichojifunza sana huko ni kutomhukumu mwananchi yoyote bila facts, na hasa kesi inapokuwa mahakamani kama hii ya Mahanga, ninasema kwamba ule mfano wa yule mkuu wa IMF unapaswa kuwa ni elimu kubwa sana kwa wasomi wote Duniani kwamba innocent until proven guilty, Mhanga akihukumiwa na mahakama kwamba ni mwizi wa visanduku vya kura nitakuabliana na wewe, lakini until then ninasema kumuhukumu ni kuwa unfair!

William @Dodoma City!
 
William acha kudharau kibanda cha mpendazoe wakati na wewe bila mkeo mtoto wa ngwilulupi usingekuwa hapa ulipo dada wa kinyakyusa amekufadhiri sana wakati ukiendesha mamlori (magari makubwa ya mizigo) Marekani ukiwa huna mbele wala nyuma.

Enzi za mwalimu ukimsogelea mtuhumiwa na wewe ni mtuhumiwa kumbe Mahanga ndiye kakufundisha ujeueri kwani na yeye yuko kama wewe kwa dharau.

Mahanga ana uzoefu wa kuiba kura sitashangaa atakusadia kuiba EAC lakini pia nimesikia rushwa iko wazi katika uchaguzi huo sijakusikia ukikemea Je ina maana na wewe umo?
 
Back
Top Bottom