W.J Malecela anatetea hata wezi wa kura ili mradi yeye apate kura kutoka kwao

Baada ya kukutana nae ndo kakutuma uje kumtetea humu siyo? Hajakuambia kwanini aliiba kura?

- Kiitikadi hakubaliani na itikadi za baba yangu, lakini I know him a human being na pia kama Mbunge wa jimbo langu ninaheshimu sana kazi zake kwenye jimbo ni very progressive, kwenye Sheria hajahukumiwa sina sababu ya kumuhukumu au kujaribu ku-influnce the outcome ni makosa sana kijamiii, ninamfahamu kwa muda mrefu sana sio tu ninekutana naye juzi, UBARIKIWE GREAT THINKER!

William.
 
ila unanifurahisha kwa kuwa una pokea criticsms! thatz great nimependa hiyo lakini sijui nikweli uko hivyo!
 
Yeah, hatukatai inawezekana kweli kafanya jitihada kwenye jimbo lakini ni kwa nini aliiba kura? wewe si umekaa ulaya na us? hivi can you entatain upuuzi kama huo? Hebu nasisitiza muulize mama alifanya nini kiwira? harafu siku hizi watu wa kule wamestaarabika kidogo lakini next time asifanye hivyo muambie walimpeleka kama chambo, mulize vizuri! watamponza siku nyingine, kile kuliishashindikana na wewe si unakujua kiwira vizuri i presume!
 
- Sasa mkuu mbona tena una-preach siasa za fear, I mean tupigane kihoja wenye hoja nzito ndio washinde, lakini sio kuogopana hizo sio siasa za kisasa mkuu, vipi Great Thinker?

- Anyways nawahi bunge sasa kwenye kutafuta kura!

William.
 
Najua kuwa una uhusiano fulani na watu wa huko, hebu waulizie watu wa huko wakoje they will tell you the truth kule kukoje, sikutishi ila naongea ukweli ulivyo mimi mwenyewe nina lineage hiyo naongea kwa kuwa nakufahamu vizuri, J K N mwenyewe aliishawahi chemshaga huko, ulizia historia they will definetly tell you!
 
- Great Thinker, unajua kwamba Mpendazoe sio mkazi wa Segerea aliamua tu baada kujibanza pale ili agombee ubunge, otherwise kwani sheria ya jamhuri inasema nini on this ishu? Maana sometimes tuwe tunajadili na facts zaidi!

William @Dodoma City!

Kwani huyu W Malecela ametokea state gani kule marekani, na kwa nini anagombea huku.
 
- Kiitikadi hakubaliani na itikadi za baba yangu, lakini I know him a human being na pia kama Mbunge wa jimbo langu ninaheshimu sana kazi zake kwenye jimbo ni very progressive, kwenye Sheria hajahukumiwa sina sababu ya kumuhukumu au kujaribu ku-influnce the outcome ni makosa sana kijamiii, ninamfahamu kwa muda mrefu sana sio tu ninekutana naye juzi, UBARIKIWE GREAT THINKER!

William.

unamaanisha hamjakutana barabarani siyo?
 
Huyu baharia gani hashushi bega moja anapotembea? Hadundi kimtindo! au meli alizotumika hazisukwisukwi na mawimbi.
"UKITEMBEA NA MWIZI NAWE UTAKUWA MWIZI" Wewe wajinasibu kumfahamu kwa ukaribu, tena ni rafiki yako MAKONGORO MAHANGA. kwa methali hiyo hapo juu UMEJIMALIZA!!!!!!!!!!! lete porojo.
 
- Great Thinker, unajua kwamba Mpendazoe sio mkazi wa Segerea aliamua tu baada kujibanza pale ili agombee ubunge, otherwise kwani sheria ya jamhuri inasema nini on this ishu? Maana sometimes tuwe tunajadili na facts zaidi!

William @Dodoma City!

Huu hauwezi kuwa utetezi wa mtu anayetafuta kutuwakilisha katika bunge la afrika mashariki kwa kutuaminisha kwamba yeye ni Taifa kwanza.

Hii inadhihirisha kwamba ukiwa mwanaccm maslahi ya chama kwanza!
 
Guilty until proven Innocent and not otherwise.....ninawachukia watoto wote wa viggogo wanaotumia nafasi za wazee wao kuingia kwenye siasa,,kwanza wanadharau sana hivyo wanatakiwa wajue kuwa tme ikifika wawe tayari kuface the outcome,,hata kama una dual citizen still tutadeal na wewe..
 
Mmmmh! kazi kwelikweli, bahati mbaya alikuwa jirani yangu pale! Lakini kama ni kajibanda sina neno tena mkuu, ila wengine kabanda ndio nyumba zetu!

Mkuu umemaliza. Ile ni nyumba nzuri kabisa na wala si kibanda. Huyu W.J.Malecela anataka kutuonesha kwamba sisi tunaishi kwenye vibanda na si kwenye nyumba. Ila yeye na wazazi wake wanaishi kwenye nyumba walizojenga kwa kodi zetu. Wallah itafika siku ya siku yaliyotokea Libya na Misri yatatokea Tanzania, tutachukua mali zetu zote na kuwatandika bakora vizuri sana wezi wakubwa nyie.
 
Willy my brother hata kama mahanga akiichukua segerea yote na wakaazi wake akawapeleka kuishi usa na europe kama aliupata ushindi kwa hira haitakuwa na maana ni lazima airudishe haki aliyoipoka.nimeyasema haya baada ya kutushawishi kwamba mahanga amefanya mengi,naimani siku ya uchaguzi haukuwepo nyumbani kama ulikuwepo utatujibu
 
Mkuu umemaliza. Ile ni nyumba nzuri kabisa na wala si kibanda. Huyu W.J.Malecela anataka kutuonesha kwamba sisi tunaishi kwenye vibanda na si kwenye nyumba. Ila yeye na wazazi wake wanaishi kwenye nyumba walizojenga kwa kodi zetu. Wallah itafika siku ya siku yaliyotokea Libya na Misri yatatokea Tanzania, tutachukua mali zetu zote na kuwatandika bakora vizuri sana wezi wakubwa nyie.

- Mkuu ninajua tofauti ya nyumba na kibanda, however can we go back to the ishu naona tunatoka kidogo kwenye the main ishu ambayo ni kwangu ni Mahanga as a human being na mwananchi huru wa Tanzania, ninasema ana haki ya kuwa innocent until proven guilty, ninachosimamia hapa ni the principle za his Bill of rights affordable by the law of our land!

William @Dodoma City!
 
Samahani Malecela wewe unauraia wa nchi ngapi??:disapointed:

- Nina uraia wa nchi moja tu TANZANIA, kama huamini soma magazeti utakuta kuna mgombea mwenzetu mmoja amekuwa disqualified kwa sababu ya matatizo ya Uraia, lakini sio mimi ingawa ni a good try!

William @Dodoma City!
 
Back
Top Bottom