W.J Malecela anatetea hata wezi wa kura ili mradi yeye apate kura kutoka kwao

Kaka yangu WJM@dodoma city, nadhani si kipindi kizuri kiji identify moja kwa moja na baadhi ya washutumiwa either wa ufisadi au wezi wa kura. Hiyo culture ya huko ulikokuwa ita apply hapa lakini siyo kwa sasa wewe unapojitokeza kwenye siasa za TZ.
 
- Great Thinker, unajua kwamba Mpendazoe sio mkazi wa Segerea aliamua tu baada kujibanza pale ili agombee ubunge, otherwise kwani sheria ya jamhuri inasema nini on this ishu? Maana sometimes tuwe tunajadili na facts zaidi!

William @Dodoma City!

Kama mpendazoe asingeibiwa kura zake muda huu ungekuta unamsifia ili upate kura yake
 
- Mkuu read my lips, huwa sijui kuchanganya maneno; ninasema hivi Mahanga ni mbunge wangu Segerea, mimi ni mkazi wa Kinyerezi, kama mbunge amelifanyia jimabo langu mambo mengi sana muhimu kwa wananchi kwa hiyo ninam-support sana kama mbunge.

- Baaada ya kuishi sana nje yaani Europe na USA, one thing nilichojifunza sana huko ni kutomhukumu mwananchi yoyote bila facts, na hasa kesi inapokuwa mahakamani kama hii ya Mahanga, ninasema kwamba ule mfano wa yule mkuu wa IMF unapaswa kuwa ni elimu kubwa sana kwa wasomi wote Duniani kwamba innocent until proven guilty, Mhanga akihukumiwa na mahakama kwamba ni mwizi wa visanduku vya kura nitakuabliana na wewe, lakini until then ninasema kumuhukumu ni kuwa

Kaka unathibitisha ni kiasi gani uko out of touch. unalinganisha mazingira ya utoaji haki ya ulaya, marekani na Tanzania. me ni badhani ungekaa kimya tu kwa sabb wanaofaham yaliyotokea Segerea wanakushangaa kwa kiwango kisichopimika. hata kama unatafuta kura lakini namna hii huwatendei haki wanaoyajua madudu yaliyotokea Segerea
 
Kaka yangu WJM@dodoma city, nadhani si kipindi kizuri kiji identify moja kwa moja na baadhi ya washutumiwa either wa ufisadi au wezi wa kura. Hiyo culture ya huko ulikokuwa ita apply hapa lakini siyo kwa sasa wewe unapojitokeza kwenye siasa za TZ.

- Hapana mkuu wangu, naona unachanganya mambo kuna siasa na binadam, unachokisoma on me ni me as a human being na mwananchi wa jimbo la Segerea, Mahanga ni mbunge wangu ninasema hivi kwenye ubunge he is fine!

- Wewe unachanganya Sheria na Siasa, ni vitu viwili tofauti na Great thinkers lazima tuonyeshe utafauti wa hayo Sheria ndio ishu ya Mahanga sasa hivi, na sheria ni kwamba humuhukumu mtuhumiwa mpaka amehukumiwa na Sheria, siasa sawa unaweza kumuhukumu kwa sababu ya interest zako ambazo ni easy kuziona hapa, yaani unachotaka!

Otherwise, Great Thinkers tuwe kioo cha jamii kwamba hapa tunaongea kitaaalamu zaidi, sio Yanga na Simba hata kombe la EAC hakuna kelele tuuuuu1

William.
 
- Mkuu read my lips, huwa sijui kuchanganya maneno; ninasema hivi Mahanga ni mbunge wangu Segerea, mimi ni mkazi wa Kinyerezi, kama mbunge amelifanyia jimabo langu mambo mengi sana muhimu kwa wananchi kwa hiyo ninam-support sana kama mbunge.

- Baaada ya kuishi sana nje yaani Europe na USA, one thing nilichojifunza sana huko ni kutomhukumu mwananchi yoyote bila facts, na hasa kesi inapokuwa mahakamani kama hii ya Mahanga, ninasema kwamba ule mfano wa yule mkuu wa IMF unapaswa kuwa ni elimu kubwa sana kwa wasomi wote Duniani kwamba innocent until proven guilty, Mhanga akihukumiwa na mahakama kwamba ni mwizi wa visanduku vya kura nitakuabliana na wewe, lakini until then ninasema kumuhukumu ni kuwa

Kaka unathibitisha ni kiasi gani uko out of touch. unalinganisha mazingira ya utoaji haki ya ulaya, marekani na Tanzania. me ni badhani ungekaa kimya tu kwa sabb wanaofaham yaliyotokea Segerea wanakushangaa kwa kiwango kisichopimika. hata kama unatafuta kura lakini namna hii huwatendei haki wanaoyajua madudu yaliyotokea Segerea

- Unawaongelea watu wengi sana saafi sana, mimi ninajiongelea mimi kama mkazi wa Segerea, na it has nothing to do na US wala Europe, Ishu ipo kwenye Sheria sasa kama Great Thinker siwezi kuacha principles just because kuna political interest za watu fulani kwenye ishu au niwe maaarufu kwa sababu kutetea habari za mitaaani, hapana ninaheshimu sheria, ndio maana nintaka ichukue mkondo wake kwanza!, kama for that ninakwua out of touch so be it!

William @Dodoma City!
 
Unajua kwa nini nimekuuliza step mother wako na kiwira? Alikuwa anafanya mchezo uleule! akataka kupigwa, ni aibu kwa kweli na nimemdhalauuu saaaaana!
 
You know what? Hawa watu wanafikiri wananchi ni kama zamani zile, kama hali ya hewa inabadirika they should know that people do also!
 
- Mkuu read my lips, huwa sijui kuchanganya maneno; ninasema hivi Mahanga ni mbunge wangu Segerea, mimi ni mkazi wa Kinyerezi, kama mbunge amelifanyia jimabo langu mambo mengi sana muhimu kwa wananchi kwa hiyo ninam-support sana kama mbunge.

- Baaada ya kuishi sana nje yaani Europe na USA, one thing nilichojifunza sana huko ni kutomhukumu mwananchi yoyote bila facts, na hasa kesi inapokuwa mahakamani kama hii ya Mahanga, ninasema kwamba ule mfano wa yule mkuu wa IMF unapaswa kuwa ni elimu kubwa sana kwa wasomi wote Duniani kwamba innocent until proven guilty, Mhanga akihukumiwa na mahakama kwamba ni mwizi wa visanduku vya kura nitakuabliana na wewe, lakini until then ninasema kumuhukumu ni kuwa unfair!

William @Dodoma City!

Tazama lugha hii, halafu huyu mwanjomwanjo ndio wa kuwa mbunge?
 
- Unawaongelea watu wengi sana saafi sana, mimi ninajiongelea mimi kama mkazi wa Segerea, na it has nothing to do na US wala Europe, Ishu ipo kwenye Sheria sasa kama Great Thinker siwezi kuacha principles just because kuna political interest za watu fulani kwenye ishu au niwe maaarufu kwa sababu kutetea habari za mitaaani, hapana ninaheshimu sheria, ndio maana nintaka ichukue mkondo wake kwanza!, kama for that ninakwua out of touch so be it!

William @Dodoma City!

William Uchaguzi wenu wa bunge la Africa mashariki ni lini? Omba mungu iwe kabla ya tarehe 2/5/2012 kwasababu kura yake hutaipata tena nauhakika lazima tumpoteze huko bungeni. Halafu nauhakika hata Lusinde umeshaonana naye kumuomba kura yake ambaye pia ni mbunge wako kwenye jimbo la mtera vip nae ameleta maendeleo kama Mahanga au kuliko aliyoleta baba yako?
 
DODOMA IMEKUWA CITY LINI? Hayo ndiyo unapeleka eac, mbwiga kwelikweli.

Huyo mie nakuambieni ataemchaguwa ubunge basi ni punguani au kisha mhonga sana. Huyu mtu ni zero kabisa hana knowledge hana upeo wa kufahamu, Yupo yupo tu kutumia mgongo na jina la yule mzee aliyebewagwa kwenye kura za maoni.
 
- Hapana mkuu wangu, naona unachanganya mambo kuna siasa na binadam, unachokisoma on me ni me as a human being na mwananchi wa jimbo la Segerea, Mahanga ni mbunge wangu ninasema hivi kwenye ubunge he is fine!

- Wewe unachanganya Sheria na Siasa, ni vitu viwili tofauti na Great thinkers lazima tuonyeshe utafauti wa hayo Sheria ndio ishu ya Mahanga sasa hivi, na sheria ni kwamba humuhukumu mtuhumiwa mpaka amehukumiwa na Sheria, siasa sawa unaweza kumuhukumu kwa sababu ya interest zako ambazo ni easy kuziona hapa, yaani unachotaka!

Otherwise, Great Thinkers tuwe kioo cha jamii kwamba hapa tunaongea kitaaalamu zaidi, sio Yanga na Simba hata kombe la EAC hakuna kelele tuuuuu1

William.
Ujumbe wangu kwako uko very simple sijui umeuelewaje! Kwa kuwa ndiyo unaingia siasa za Bongo karibu sana najua kwa baadae utaelewa tu.
 
- Nimekuelewa sana mkuu, usiwe na wasi wasi tupo pamoja; wengine nianshinwa kuwajibu mnajua sababu sina haja ya kurudia tena, muwe na siku njema!

William @Dodoma City!
 
huyu jamaa hafai kabisa, kwanza siasa za Tanzania hazijui kakaaa sana nje huyu. Ni mzigo tu
 
Kuna thread moja iliyokuwa inaelezea jinsi mbunge wa segerea alivyo changanyikiwa kutokana na ile kesi yake ya wizi wa kura lakini le baharia anamtetea sana kwa vile anataka kura yake kwenye ule ubunge wa afrika mashariki

" Well, Great Thinkers tujifunze kujadili kwa kutumia haki na fairness, kwamba Mbunge Mahanga amechanganyikiwa it is far from the truth jana nilikuwa naye he is just fine na si kweli kabisa, innocent until proven guilty hajahukumiwa bado kesi ipo kwenye mikono ya sheria, sasa common sense ni kusubiri matokeo kwanza badala ya kujaribu ku-influence matokeo.

- Mahanga ni Mbunge wangu, nina makazi yangu kata ya Kinyerezi, jimbo la Segerea sasa mambo kama haya muwe mnatuachia tuwafahamisheni uwezo wa mbunge na udhaifu wake, Mhanga has done a lot kwa jimbo la Segerea, ikiwa ni pamoja na kulipunguza sana tatizo la maji, amejaribu sana kurekebisha bara bara na mara ya mwisho nilimsisitiza kutengeza bara bara ya kutoka relini Majumba Sita kwenda Segerea akanielimisha sana kwamba kwa nini bado haijatengenezwa na kwamba ana uhakika kuwa itatengenezwa.

- kwamba amechanganyikiwa, sio kweli he is fine unless kuna something else I am missing here!, tuwe wakweli tuachane na upotoshaji.

William."

Baada ya kukutana nae ndo kakutuma uje kumtetea humu siyo? Hajakuambia kwanini aliiba kura?
 
huyu jamaa hafai kabisa, kwanza siasa za Tanzania hazijui kakaaa sana nje huyu. Ni mzigo tu

- Unasema Taifa letu limeendelea sana kwa sababu linaongozwa na watu wanaoishi hapa hapa na wanaozielewa vizuri siasa za hapa Tanzania, sawa sawa Great Thinker! ha! ha! ha! ha!

William @Dodoma City!
 
Back
Top Bottom