Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,652
- 13,077
Tutaweka mambo sawa
Nalog off
Nalog off
Haa HaaSana Tena GPA kubwa
Serikali ya mama imewasikia imeongeza bajeti kwa watafiti na maofisa ugani kama hivi 👇Vijana wanamaliza hivi vyuo wakiwa hawajui lolote kwa miaka mitatu ya certifcate na diploma.
Nimemhoji kijana amemaliza certificate kutoka MATI Mtwara, Mtoto amesoma certificate in Kilimo na Mifugo, unamuuliza ECF ni nini hajui! Kupiga sindano ng'ombe hajui! Hakuna ugonjwa wowote wa mimea anaoujua.
Ndio wahitimu, lk si kosa lao. Mfano MTwara Agricultural Trainig Institute wanachowafanya watoto ni kulima tu mashamba ya korosho etc. Ni kama manamba, wako pale as a source of labour and not to learn agricultural and animal science be fit to be employed or self-employed.
Hawawezi kuajiliwa popote au kujiajiri maana unamuuliza kuku wanafugwaje hajui..., magonjwa ya kuku ni yapi, hajui. Watafute mkawaulize
( Nisi generalise, lkn for MATI Mtwara is a waste of time for our kids!
siyo lengo la mzazi na mtotoLabda wamebobea kwenye umanamba. Wape majembe, mapanga, shoka halafu uone
Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
lakini unategemea vitu basic avijibu vema.....ach hayo ya juuSawa,lkn bahati mbaya sana wanafunzi wanaopata GP kubwa huwa sio wazuri Sana kujieleza.
sina sababu ya kuleta uogo hapa, nakwambia nilichoshuhudia. Na wanasema kuwa priority ni kulima mikorosho na mazao mengineMi siamini.
Yaani na kufaulu kafaulu ila hajui hata gonjwa moja? Sasa mitihani ilikua ina maswali gani?
Hahahhhh nimecheka sana mpaka mteja wangu amenistukiaKwa tanzania km umezaliwa kijijini sioni umuhimu wa kwenda chuo cha kilimo kwani tayari unakuwa ntaalam
Nami naona wanavyojibu kimzaha mzaha, and this reflects the perception of majority of people on the value of kilimo na ufugaji and may be pia walimu wanaon hivyo ndiyo maana wanawalimisha tu. Wapo pale kupata mshahara. Kama ingekuwa medicne nadhani response zingelikuwa tofauti.Mleta mada naona watu wengi wanachangia kimzaha mzaha, lakini unachoongea kina ukweli mkubwa na hii ni matokeo ya kuingiza siasa na kutafuta ulaji na maslahi binafsi kwenye maeneo yanayohitaji weledi zaidi. Ukilinganisha wazee waliosoma diploma miaka hiyo ambao wengi wamestaafu na hawa wa kizazi kipya utagundua tofauti kubwa sana kwenye uelewa wao wa mambo na namna ya kufanya mambo in a practical way. Anyway, tuendelee kukusanya tozo kwa ajili ya mafuta ya ma viieite, ndege na kufanya shooting ya vivutio vya utalii.
Nami naona wanavyojibu kimzaha mzaha, na hii inadhihirisha watu wanavyokichukuulia kilimo na training/vyuo vyake vitu vya "kipuzi" kitu ambacho iyo swa. kama ingelikuwa medicine wasingelijibu hivyoMleta mada naona watu wengi wanachangia kimzaha mzaha, lakini unachoongea kina ukweli mkubwa na hii ni matokeo ya kuingiza siasa na kutafuta ulaji na maslahi binafsi kwenye maeneo yanayohitaji weledi zaidi. Ukilinganisha wazee waliosoma diploma miaka hiyo ambao wengi wamestaafu na hawa wa kizazi kipya utagundua tofauti kubwa sana kwenye uelewa wao wa mambo na namna ya kufanya mambo in a practical way. Anyway, tuendelee kukusanya tozo kwa ajili ya mafuta ya ma viieite, ndege na kufanya shooting ya vivutio vya utalii.
Kama kumaliza chuo cha kilimo halafu hajui lolote namwomba asije akarogwa anaomba kwenda kusoma SUA, haki ya nani hatiboiiiii!!Ana interest Sana, Tena GPA ya over 4. Highly determined to have a degree in agriculture ndiyo maana alikazana kupata GPA kubwa isije mletea kikwazo
Kama kumaliza chuo cha kilimo halafu hajui lolote namwomba asije akarogwa anaomba kwenda kusoma SUA, haki ya nani hatiboiiiii!!
Nakwambia hatoboiiii!!Nami nakuwa na wasiwasi if will manage.
Mkuu sikila atakaye soma taaluma fulani basi atabobea kwenye taaluma hyNami nakuwa na wasiwasi if will manage.
Youe scenario is differet from this one. Wewe uliyajua mambo ya veterinary medicine, ukaacha kwa kuangalia pengine. Sasa huyu ananipa mashaka na acquired knowledge..... let us wait and seeMkuu sikila atakaye soma taaluma fulani basi atabobea kwenye taaluma hy
Life linakushep uchange
Usikute huyo jamaa alisoma kweli kilimo lakini akaona abadili mtazamo kutokana na kuyafikia malengo yake
Binafsi mimi ni mtaalamu wa mifugo lakini nilisha achana na hizo bishe leo hii ukiniambia nichukue hata blood sample kwenye jugular vein siwezi lakini mwanzo nilikuwa smart kabisa kweny kada hii ya medicine
exactly, nashukuru umenielewa vema. Ngombe anaumwa mastitis, unamleta mtaalamu wa ngombe, uaona kabisa kuwa huyu ni mbabaishaji. Unaamua ku google, unaweza kupata maelekezo mazuri kuliko kumwita "mtaalamu" wa mifugo...Fuga kuku halafu waugue umuite mtaalamu msomi aliyebibea katika kutibu wanyama na ndege ni shida kubwa.