Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,892
- 52,490
Usibishane na keyboard kijana humu kuna watu eana hadhi sana,kuwafahamu ndo huwezi ila habari ndo hiyo..
Japokuwa na hao unaowasemea wamo ila siyo wote,
nasema nilichona uhakika nacho na siyo hisia,
Japokuwa na hao unaowasemea wamo ila siyo wote,
nasema nilichona uhakika nacho na siyo hisia,
Humu jamii forums kila mtu amepata div 1 na kila mtu amesoma course nzur na ana kazi,uongo mtupu,kama una kazi kweli ucngepata muda wa kushinda jamii forum mchana kutwa na ucku kucha,..udanganyifu tu