Vyuo vinavyotoa degree za mezani Tanzania!

Vyuo vinavyotoa degree za mezani Tanzania!

Status
Not open for further replies.
yote hii ni kutokana na tangazo la Tahliso la walioongoza kwa ufaulu 2005/2006 watakuwa dodoma na mgeni rasmi premier na udsm hawamo ndo maana wame mind.
Hicho sio kigezo na hakuna aliyemaindi mkuu, kimsingi huwezi kulinganisha GPA ya 3.0 ya Chuo kikuu cha Dar es salaam na GPA 3.0 ya SAUT maana GPA ya UDSM hadi uipate hiyo 3.0 jasho litakutoka sana ila kwa hao wengine kawaida tu maana mwanachuo ni mteja hawawezi kumkazia ili asome sana shule ikiwa ngumu watakosa wateja
 
Karibu teku tusome hesabu.So muda kuongea bla bla sjui chuo gani ki vizur zaid ya chuo x, degree ipo kichwani mwako haiko chuo x .kuna watu walisoma shure Kali o-level advance lkn izo shure zimekua ka mwiba ktk maisha yake, tupige shure maneno mengi hayasaidi.

=SHULE.
 
kama umefaulu vizuri unaenda DIT kufanya nn achen uongo waliokuwa wanaenda huko ni waliopata marks ndogoOTE]
hapana, sio wote, wengine option yao wanapenda kusoma na ufundi,halafu shule ya science tofauti na shule nyingine kwa ugumu si unajua DITwa science wanachukua watu
 
Ukitaka kujua uzuri au ubaya wa chuo angalia core course ambayo chuo kilianzishwa kwa ajili hyo,kwa mfano UDSM ni law,SUA ni mambo ya kilimo,IFM uhasibu na benki n.k.Kwa hyo kama chuo kinakuwa kilaza kwny core course ujue kuna tatizo.Hivo huwez kugeneralize kuwa chuo ni kilaza kwa kuangalia hzo faculty zingine.
point taken
 
Upo sahihi kabisa Mkuu
Kuna kitu tunakosa hapa. Evaluation ya vyuo kwa sasa naiona ni kazi ngumu kuliko unavyofikiri. Mf; ukisoma UDSM CoET, Law,etc lazima ukiri ni chuo bora zaidi. Lakini sio kwa course zote. Chuo kama SUA, karibia course zake zote zina ubora. Kwanini? Ratio ya students/lecturers, facilities etc. Hivyo vyuo ulivyovitaja; vina course zingine zenye ratio nzuri kuliko vyuo vikubwa. Wakati BBAs zao zaweza kua worse kuliko popote, lakini BAEd/Bsc zao zinahitahiji presentation, practices etc wanakua vizuri. Mf: niliwahi sikia Doctors from KCMC (Tumaini),Teachers from St. Johns, Accountants from IFM are among the best in the country. Kuna course hata hazipatikani kwenye hivi vyuo vyetu 'vizuri', kwa hiyo wanafunzi wazuri wanakutana na waalimu wao wazuri kutengeneza chuo kizuri. Hapa ndipo watu wanaposhindwa kutofautisha sifa za chuo kwasababu ya Faculty ipi na yeye anaenda kusomea ipi. Kama ni cheti, haina shida, kama ni competence, kuna shida hapo.

tragedy of the commons
 
Endeleeni na ushindani wenu wa vyuo tu,watu tumesoma sinon college na bado tunapiga maisha we na hicho chuo chako cha maana unatoa macho tu na kujisifia
 
Ifm umewahi kusoma wewe? Wenzako wandisco semester ya kwanza tu unarud kwenu unasema degree inatoka kirahisi?

Hivi shule bado hazijafunguliwa?
Kwa sasa IFM wako strict kiasi. Miaka kama 7 hivi iliyopita pale watu walipeta. Ilikua ni moja ya taasisi ambazo ni anasa mwanzo mwisho. Mamiss wakitoka pale na CBE. hata hivyo baada ya NACTE kukomaa,ANGALAU sasa watu wako serious, ukileta za kuleta unaliwa kichwa. Zaman wadada walipeta tu!
 
Jamani naombeni ushauri niende chuo kipi kati ya tumaini na kampala (KIU)kwa course ya sheria?
 
Jamani naombeni ushauri niende chuo kipi kati ya tumaini na kampala (KIU)kwa course ya sheria?
We nawe km unavigezo Si uende udsm au unataka anzisha mengine tu mapema namna hii
 
Hahahah...

* Kama unaniita bwana mdogo na upo chuo utakuwa unasoma elimu ya watu wazima...shikamoo baba mdogo.

* Mawenzi Secondary 2000 - 2003

* Same High School 2004

* Majengo High School 2004 - 2006

* Nairobi University (govt sponsor) computer Science 2006 - 2009

Am waiting on you...
Hv ushajenga ndugu,una gari,una mradi wowote unakuingizia hata elfu 30 kwa cku? Acheni kupoteza muda mi nimesoma chuo kidogo tu hapa Dar sidhani hata kama unakijua anyway kinaitwa DMI vipo vtatu tu vya namna yake Africa nzima na nimeshatoka vibaya tofaut kabisa na wenzangu waliopiga degree kwa hvyo vyuo misifa
 
Wenye uwezo ila walifeli FIV/FVI-IAA, DIT

hii naipinga! jamaa wapo fiti sana
We bado wa zamani asee DIT pale wanachukua watu waliopata Div 1 na 2 basi kutoka secondary uliza form four watakupa vilio
 
j
Majuzi kati tulifanyia interview watu 15 kati yao UDOM walikuwa 5 na wana ma-GPA ya kufa mtu
I was about to hide my face kwa uwezo mdogo waliokuwa nao maana kwenye panel tulikuwa na Mkenya mmoja, Mganda na Mcameroon
juzi kati unamanisha nini? hao wakisoma kozi ipi? kwa nini umesema mkenya..mganda na mjameroon?ulitaka kutuaminisha nn kuhusu hao watu....asee wewe ni kilaza sana siamini kama una degree
u
ju
 
Ipo Wazi Kabisa UDSM Ndo Baba Lao. Hakikupaswa Kutajwa Mahali Hapa Na Hivyo Vyuo Ucharwa. My Take Comparison Ya UDSM Ifanywe Na Vyuo Vya Nje Ya Tanzania. Ni kufuru Kubwa Kuitaja UDSM Na Hivi Stagnant Universities.
 
Kuna kitu tunakosa hapa. Evaluation ya vyuo kwa sasa naiona ni kazi ngumu kuliko unavyofikiri. Mf; ukisoma UDSM CoET, Law,etc lazima ukiri ni chuo bora zaidi. Lakini sio kwa course zote. Chuo kama SUA, karibia course zake zote zina ubora. Kwanini? Ratio ya students/lecturers, facilities etc. Hivyo vyuo ulivyovitaja; vina course zingine zenye ratio nzuri kuliko vyuo vikubwa. Wakati BBAs zao zaweza kua worse kuliko popote, lakini BAEd/Bsc zao zinahitahiji presentation, practices etc wanakua vizuri. Mf: niliwahi sikia Doctors from KCMC (Tumaini),Teachers from St. Johns, Accountants from IFM are among the best in the country. Kuna course hata hazipatikani kwenye hivi vyuo vyetu 'vizuri', kwa hiyo wanafunzi wazuri wanakutana na waalimu wao wazuri kutengeneza chuo kizuri. Hapa ndipo watu wanaposhindwa kutofautisha sifa za chuo kwasababu ya Faculty ipi na yeye anaenda kusomea ipi. Kama ni cheti, haina shida, kama ni competence, kuna shida hapo.

tragedy of the commons
Ardhi inatoa best ACcountants bora kuliko
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom