kakakuonana
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 338
- 61
St.john's ipi iliyotajwa? Dom au Dar? Mi dom sikuipata ya mezani na wengi wamedisco wengne warembo wengne wana pesa! Au umechukua mfano mmoja kwa wote?
Duh..dogo uko shallow sana...actually huwa tunasema, 'nipo Nairobi Uni' au kufupisha zaidi 'UoN' hiyo ya The University of Nairobi ni too official young man.
Bado huamini? Haya sema wewe ukweli wako..
Duh..dogo uko shallow sana...actually huwa tunasema, 'nipo Nairobi Uni' au kufupisha zaidi 'UoN' hiyo ya The University of Nairobi ni too official young man.
Bado huamini? Haya sema wewe ukweli wako..
Mimi sio muongo kama wewe kijana,Mimi ni 2 form four na 2 form6 but na saiv nipo Ardhi university,but uache uongo wewe,najua unadanganya tu hapo,wewe kama ni computer scientist kweli ungekua unafkiria code saiv sio kubishana na mimi hapa!!wenzako ninaowajua wasomi wa computer wanafkiria kutengeneza systems na kutoa idea mpya sio wewe unaetafuta kiki humu
Jiamini mdogo wangu.
Computer scientist si lazima afanye code umekremu maisha mdogo wangu. Ndiyo maana nakusubiri upunguze jazba tuongee kisomi hapa nakujibu kama unavyoandika.
Mentor if u can't do code how will u be computer scientist?
I did computer science and programing languages are the core subjects
saut na udom, pia nataka kusoma shahada ya uzamili kati ya chuo kimojawapo, siwezi kuludi kwenye chuo ninichotafutia shahada ya kwanza, kilinitesa sana, nilihangaika sana, no bata.. Msuli hadi j'mos na j'pili... Nataka chuo ambacho naenda kuchukua master na sio kuitafuta.!
I did computer science..ninefanya code miaka miwili tu as a profession...systems administrator.
Am now an administrator and have chosen that path over coding.
Tatizo huyu mdogo wangu anaongea kwa jazba nashindwa kumpa funzo.
Unaliaibisha jina unalojiita wenye majina hayo wana hekima na busara za hali ya juu..haiwezekani ukachangia hivyo kwa jina hilo ungejiita kindegate au vidudu ningekuelewa sio Advocate
Hahahaha OPEN
uozo mwingine upo hapa > st. joseph university