Vyuo vinavyotoa degree za mezani Tanzania!

Vyuo vinavyotoa degree za mezani Tanzania!

Status
Not open for further replies.
Unajua toen mawazo kwa fact,mf ifm pale madogo wanakwambia ni pagum coz ku disco ni mda wowote maana paper znakazwa na system ya ku carry na supp zimebanwa sn,xaxa nenda ardhi universty m2 ame carry mpaka anachoka na hata uwe na supp ngap we unaendelea...
Hupajui Ardhi nyamaza
 
DIT na IFM ni pa vilaza.. hilo linafahamika... acheni kutoa mapovu
 
hiyo list ya degree za mezani itakuwa haitoshi kama RUCO na st. Johns haitakuwemo na saut ya tabora.
 
Napingana na wewe! Si kweli kuwa mzumbe ni matajiri na wenye akili! Mzumbe kuna kujuana kuliko chuo chochote cha Tanzania! Wengi wa wanafunzi wanaoenda pale ni wale 'walioletwa' na mjomba au shangazi! Ni nadra sana kwa UDSM kuchukua mtu mwenye div 3 kwa ajili ya course za Sheria na Utawala! Lakini ukienda Mzumbe utakuta watu wa namna hiyo! Hao wana akili?
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Haya ni mawazo ya ajabu ajabu kabisa na ya kupuuza. Chuo kuchukua mtu mwenye Division 3 sio issue kama huyo mtu ana vigezo vilivyowekwa. Hata UDSM kuna programs ambazo huchukua Divison 3-chunguza utafahamu. Kupitia TCU vyuo vimeweka vigezo na kama chuo kina nafasi sioni issue iko wapi. Hatuwezi kuacha kuchukua watanzania walio na vigezo eti kwa sababu wana divion 3.
 
j
juzi kati unamanisha nini? hao wakisoma kozi ipi? kwa nini umesema mkenya..mganda na mjameroon?ulitaka kutuaminisha nn kuhusu hao watu....asee wewe ni kilaza sana siamini kama una degree
u
ju

You are such a fool....

Nonsense
 
Juzi nilipokea ujumbe kwenye simu yangu kutoka kwenye namba ngeni, ilisomeka hivi:

Hebu cheki sifa za waendao vyuoni.

Matajiri na wenye akili-Mzumbe
Mahandsome na warembo-IFM
Maskini na washamba-SUA
Malaya na wasiojiweza kiakili-CBE Dar
Upeo mdogo na watoto wa mama-Tumaini
Waliokosa vyuo kabisa-MAKUMIRA, MWENGE
Waliokosa nafasi na watoto wa wakulima-UDOM
Wasiojali future zao-USTAWI, MUCOBS, SAUT, MWL NYERERE, TEKU, SEKUCO
Wenye uwezo ila walifeli FIV/FVI-IAA, DIT
Majigambo kibao lakini taaluma hamna kitu-UDSM
Wasiofahamu umuhimu wa elimu, wanategemea chabo ili wafaulu-Magogoni

Huyo aliyekutumia hiyo meseji alikuwa mjinga mwenzako, hv Mzumbe ni chuo?
 
Narudia tena . Ungefaulu vizuri sayansi na comb zinge balance. o level ungeenda a level na hiyo PCM yako then na huko ungefaulu vizuri ungeenda engineering UDSM. Marks zako hazikutosha o level na ndio maana ukapita njia ndefu huko kwenye diploma
Mkuu, nafikiri either kiswahili ni kigumu kwako or uelewa wako ni mdogo. Ngoja nikupe mfano wangu mwenyewe. Olevel nimesoma technical school PCM nilikuwa na ABB, bado niliselect kwenda further technical education, nikaenda DIT. Nakumbuka tulionde DIT kutoka shule moja hakuna aliekuwa na III, wakati wenye three wote walikwenda A-level. Usipende kushupaza shingo bila kuwa na uelewa wa kutosha wa mfumo wetu wa elimu.
 
Vyuo bora huchukua wanafunzi bora, hilo halina ubishi, angalia sifa za kujiunga kwa kila chuo, mfano ili upate nafasi ya kusoma MD Muhas ni lazima uwe na kuanzia pointi saba, kwa wale walio peleza hujikongoja na kukimbilia Bugando ila moyoni wakipatamani MUHAS, kwa wanaokosa nafasi bugando hukimbilia udom , wao wanachukua mpaka pointi tano. Ila wanao kosa hata udom hujipeleka KAIRUKI au sauti songea! Ila wote walitamani MUHASI.
Hali ni ileile kwa kozi zingine, wanafunzi wengi hutamani kusomea UDSM tatizo ni "kompetisheni" udsm inachukua best students na ndio chuo bora hapa Tanzania.
 
Poor minded..!!! kuna jamaa tupo nao bugando mmoja ana div1 ya 5 from tbr boyz, wawili wana 1 za6 frm kibaha ..hao ni wale ninaowafaham .. na one za saba za kutosha.. uliza wenzio uambiwe usikurupuke, watu hawapendi kuzeeshwa na stress za muhas
 
Ardhi inatoa best ACcountants bora kuliko
Mwezi uliopita CRDB walichukua wanafunzi kutoka IFM waliomaliza Degree ya Acc kwanini awakwenda kuchukua wa Ardhi kama wanatoa best accountant??
 
chuo
Hv ushajenga ndugu,una gari,una mradi wowote unakuingizia hata elfu 30 kwa cku? Acheni kupoteza muda mi nimesoma chuo kidogo tu hapa Dar sidhani hata kama unakijua anyway kinaitwa DMI vipo vtatu tu vya namna yake Africa nzima na nimeshatoka vibaya tofaut kabisa na wenzangu waliopiga degree kwa hvyo vyuo misifa
Dare es salaam marine institute (DMI) hiko chuo ni kizuri , mabaharia na watu wengine wa marine usoma hapo, kuna jamaa yangu mmoja alisomaga hapo, mr MKALI
 
kama umefaulu vizuri unaenda DIT kufanya nn achen uongo waliokuwa wanaenda huko ni waliopata marks ndogo
sio kweli, inategemea kwenye fomu ulichagua technical kama namba moja au mbili, mdogo wangu alipata div one ya point 12, alijiunga na dit, jamaa yangu alipata one ya tisa alijiunga DIT, etc ninayo mifano mingi
 
acha ku support mainstream media,,kwa diploma kuingia pale inabidi uwe na c flat and above in pcm,,,sa nakushangaa mama,,mimi nilichaguliwa pale na nilikuwa na one ya kumi o -level from technical school na nikakutana na vichwa balaa na sasa hivi ni potential people in different organizations na nation,,,pia kijana wangu anaenda hapo diploma ana one ya kumi na tatu,,hebu jaribu kwenda uone?

Naungana na ww kwa asilimia mia jamaa muongo
 
Mkuu, nafikiri either kiswahili ni kigumu kwako or uelewa wako ni mdogo. Ngoja nikupe mfano wangu mwenyewe. Olevel nimesoma technical school PCM nilikuwa na ABB, bado niliselect kwenda further technical education, nikaenda DIT. Nakumbuka tulionde DIT kutoka shule moja hakuna aliekuwa na III, wakati wenye three wote walikwenda A-level. Usipende kushupaza shingo bila kuwa na uelewa wa kutosha wa mfumo wetu wa elimu.
Kuna rafiki zangu nilimaliza nao O level, mmoja alipata 1 ya 17 akaenda DIT kupiga Civil Engineering na mwingine alipata II akasoma Diploma kwa miaka 3 ya Umeme.

Huyu wa Civil siku hizi sijui yupo wapi, ila huyu wa umeme anapiga pesa tu Tanesco, mimi kwa sasa mwanasayansi wa O Level kama anajijua kichwani yupo vema namshauri aende Chuo, Diploma za sayansi zinalipa hata kabla ya Degree.

Huyu wa Tanesco naongea nae anasema baada ya miaka kama miwili ndo ataenda kuendelea na Degree kwa kujisomesha mwenyewe.
 
Mkuu, nafikiri either kiswahili ni kigumu kwako or uelewa wako ni mdogo. Ngoja nikupe mfano wangu mwenyewe. Olevel nimesoma technical school PCM nilikuwa na ABB, bado niliselect kwenda further technical education, nikaenda DIT. Nakumbuka tulionde DIT kutoka shule moja hakuna aliekuwa na III, wakati wenye three wote walikwenda A-level. Usipende kushupaza shingo bila kuwa na uelewa wa kutosha wa mfumo wetu wa elimu.
Jamaa haelewi anachokiongea huyo
 
Hapo penye ifm umekosea weka cbe, wanatoa vyeti mezani, wana campus yao mbeya INA certificate na diploma hata use kilaza vipi unapita tuuu,
 
Poor minded..!!! kuna jamaa tupo nao bugando mmoja ana div1 ya 5 from tbr boyz, wawili wana 1 za6 frm kibaha ..hao ni wale ninaowafaham .. na one za saba za kutosha.. uliza wenzio uambiwe usikurupuke, watu hawapendi kuzeeshwa na stress za muhas
Ni wangapi kati ya kumi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom