Vyuo vinavyotoa degree za mezani Tanzania!

Vyuo vinavyotoa degree za mezani Tanzania!

Status
Not open for further replies.
acha ku support mainstream media,,kwa diploma kuingia pale inabidi uwe na c flat and above in pcm,,,sa nakushangaa mama,,mimi nilichaguliwa pale na nilikuwa na one ya kumi o -level from technical school na nikakutana na vichwa balaa na sasa hivi ni potential people in different organizations na nation,,,pia kijana wangu anaenda hapo diploma ana one ya kumi na tatu,,hebu jaribu kwenda uone?

Acha kunegeralize wanangu kibao wamefeli six wamepata four wapo dit apo wanasoma civil
 
Unajua toen mawazo kwa fact,mf ifm pale madogo wanakwambia ni pagum coz ku disco ni mda wowote maana paper znakazwa na system ya ku carry na supp zimebanwa sn,xaxa nenda ardhi universty m2 ame carry mpaka anachoka na hata uwe na supp ngap we unaendelea...
 
Ama kweli kua uyaone?unataka kufanisha IFM na ARDHI,kweli wewe unamkufuru mungu,hivi wewe unajua hata Ardhi wanafundisha course gani?
 
Dah watu wengine arguments zenu hazina logic kabisa hivi mtu ukisema degree ya mezani unamaanisha nn?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Juzi nilipokea ujumbe kwenye simu yangu kutoka kwenye namba ngeni, ilisomeka hivi:

Hebu cheki sifa za waendao vyuoni.

Matajiri na wenye akili-Mzumbe
Mahandsome na warembo-IFM
Maskini na washamba-SUA
Malaya na wasiojiweza kiakili-CBE Dar
Upeo mdogo na watoto wa mama-Tumaini
Waliokosa vyuo kabisa-MAKUMIRA, MWENGE
Waliokosa nafasi na watoto wa wakulima-UDOM
Wasiojali future zao-USTAWI, MUCOBS, SAUT, MWL NYERERE, TEKU, SEKUCO
Wenye uwezo ila walifeli FIV/FVI-IAA, DIT
Majigambo kibao lakini taaluma hamna kitu-UDSM
Wasiofahamu umuhimu wa elimu, wanategemea chabo ili wafaulu-Magogoni

Nimeipenda hii kumbe mambo ndo yako hivyooooo?!!!!
 
Dah watu wengine arguments zenu hazina logic kabisa hivi mtu ukisema degree ya mezani unamaanisha nn?

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu unashangaa za mezani wakati zipo mpaka za vyupi....
 
nyie first year mnahangaika sana!!
Tena wewe utakuwa wale wa CBE maana hata kufanya utafiti kidogo kujua kile alichokiandika kama amehitimisha au ameomba maoni ya wengi kwa alichosikia wewe umekurupuka kumdahili mtu mwaka wa kwanza kama wewe ulivyo....

Maliza tuchuo twako uto uje huku mtaani tukubebeshe bahasha za kazi kila siku kuleta barua za maombi ya vibarua...
 
Napingana na wewe! Si kweli kuwa mzumbe ni matajiri na wenye akili! Mzumbe kuna kujuana kuliko chuo chochote cha Tanzania! Wengi wa wanafunzi wanaoenda pale ni wale 'walioletwa' na mjomba au shangazi! Ni nadra sana kwa UDSM kuchukua mtu mwenye div 3 kwa ajili ya course za Sheria na Utawala! Lakini ukienda Mzumbe utakuta watu wa namna hiyo! Hao wana akili?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Hao ndiyo wanaoangukia kndi la matajiri/wenye uwezo kiuchumi ambao kwenye ACSEE kura hazikutosha lakini kwa kutumia influence yao wanaweza kupata chochote wanachotaka.

Si wote wanaosoma shule za FEZA na kufaulu kwa madaraja ya juu wanaakili kuliko wale wa ST. Kayumba, wapo pia wachovu lakini kwa kutumia rasilimali zao wanafaulu vizuri tu.....jiulize wamefaulu vipi
 
Pamoja na kwamba idadi ya vyuo vikuu inaongezeka Tanzania, kuna baadhi ya vyuo vimekua vikitoa shahada kirahisi sana, pasipo wanafunzi kutengenezwa vya kutosha kufikia mafanikio hayo!
Baadhi ya vyuo vinavyotoa degree za mezani ni Tumaini, St. John's na IFM. Wadau, ongezeni vingine.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Ifm umewahi kusoma wewe? Wenzako wandisco semester ya kwanza tu unarud kwenu unasema degree inatoka kirahisi?

Hivi shule bado hazijafunguliwa?
 
Juzi nilipokea ujumbe kwenye simu yangu kutoka kwenye namba ngeni, ilisomeka hivi:

Hebu cheki sifa za waendao vyuoni.

Matajiri na wenye akili-Mzumbe
Mahandsome na warembo-IFM
Maskini na washamba-SUA
Malaya na wasiojiweza kiakili-CBE Dar
Upeo mdogo na watoto wa mama-Tumaini
Waliokosa vyuo kabisa-MAKUMIRA, MWENGE
Waliokosa nafasi na watoto wa wakulima-UDOM
Wasiojali future zao-USTAWI, MUCOBS, SAUT, MWL NYERERE, TEKU, SEKUCO
Wenye uwezo ila walifeli FIV/FVI-IAA, DIT
Majigambo kibao lakini taaluma hamna kitu-UDSM
Wasiofahamu umuhimu wa elimu, wanategemea chabo ili wafaulu-Magogoni
CBE Hawajiwezi kiakili? wewe umelogwa! au hujawai soma CBE!
 
Karibu teku tusome hesabu.So muda kuongea bla bla sjui chuo gani ki vizur zaid ya chuo x, degree ipo kichwani mwako haiko chuo x .kuna watu walisoma shure Kali o-level advance lkn izo shure zimekua ka mwiba ktk maisha yake, tupige shure maneno mengi hayasaidi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom