Vyuo Vikuu visivyo na sifa kufutwa!

Vyuo Vikuu visivyo na sifa kufutwa!

Kwa hiyo hoja ya 50% ya wahadhiri kuwa PhD Holders, basi SUA , UDSM na Nelson Mandela University ndiyo vyuo vikuu pekee vitakavyosalia.

Hiki Nelson Mandela wahadhiri wa ngazi ya PhD ni zaidi ya 90%, vyuo vingine vinatakiwa viige kutoka huku. Hiki ni zaidi ya UDSM
 
Akimaliza vyuo vikuu aende ktk vi english academy uchwara ambavyo havina sifa kazi kuiba mitihani na kupandsha ada
 
Kisibao, ndio hao hao
Hiyo kuandika Master sifikirii kama nimekosea. itakuwa wewe na huyo mwenzako nyote mna matatizo.Kwa bahati mbaya sijisifu lakini kama kozi zote nilizoingia kuanzia degree ya kwanza, master na phd. mtu ambae ana elimu ndogo kunisomesha ni Asso Pro. na hawajanisomesha more than 20% ya kozi zote. Sasa wewe mwenzangu sijui vp?
 
Hata Muhimbili university hawajafikisha 50%?
Ngumu sana kwa Muhimbili kufika 50% kutokana na aina ya msuli wa pale na hawana sababu za kuhangaika kutafuta PhD! Hivi umeshawahi kujiuliza; after being tortured with medicine for 5 years... hivi unaweza kuwa na hamu kweli ya kuendelea? Lakini kubwa kuliko yote; watu wa Muhimbili hawana sababu ya kujitesa! Chukulia SUA kwa mfano... unajua pale PhD Holders ni wengi kupita kiasi; and you know why?Zamani unakuta mtu anamaliza bachelor yake... sasa ili kukwepa kuajiriwa kama bwana shamba na kutupwa wilayani (zamani hadi wilayani watu hawataki); unakuta mtu ana-fight kutafuta scholarship ya kwenda nje! Sasa donors wengi waliamini kv ni chuo cha kilimo, kwahiyo ku-sponsor wanafunzi wa kilimo unakuwa unasaidia hii nchi maskini! Sasa kutokana na hivyo, wengi wakapata bahati ya scholarship za masters hususani kupitia Commonwealth scholarships, Sasa kama unavyowajua wabongo; hata ukimpeleka nje kwenda kusoma diploma, atataka aunganishie hadi PhD... kwahiyo wengi ambao walienda kwa masters, hawakurudi wakaunganisha na PhD kabisa! Wanaporudi na PhD, wakajikuta hawaajariki sokoni na wakawa hawana option nyingine bali kurudi chuoni kufundisha! Sasa situation kama hii, kwa Muhi2 haikuwepo! Ukimaliza kitu kama medicine, unatupwa moja kwa moja hospitali ya rufaa ambayo ni mjini na ukikaa mwaka mmoja tu; hamu ya kurudi chuo huwezi kuwa nayo tena!
 
Mawazo ya Prof. Ndalichako ni muafaka kabisa. Lazima kukuza elimu kwa idadi na ubora (quantity and quality ).
Tusiogope kuchukua maamuzi magumu kuinusuru nchi kielimu. Hatuwezi kuvumilia UPE ngazi ya vyuo. Tutaizika nchi yetu kielimu!
 
Nafikiri waziri amekosea. Sifa ya mwalimu ni kujua anachokifundisha it does not matter ana level ipi ya elimu
 
Naomba kufahamu umri wako na kiwango chako cha elimu. Maana hiyo reasoning yako hata inanifanya niamini kuwa jamiiforum imeingiliwa
 
Mawazo ya Prof. Ndalichako ni muafaka kabisa. Lazima kukuza elimu kwa idadi na ubora (quantity and quality ).
Tusiogope kuchukua maamuzi magumu kuinusuru nchi kielimu. Hatuwezi kuvumilia UPE ngazi ya vyuo. Tutaizika nchi yetu kielimu!
Ni kweli kabisa ndugu, mtu mwenye degree moja kufundisha mwanafunzi wa degree ni janga
 
Hiyo kuandika Master sifikirii kama nimekosea. itakuwa wewe na huyo mwenzako nyote mna matatizo.Kwa bahati mbaya sijisifu lakini kama kozi zote nilizoingia kuanzia degree ya kwanza, master na phd. mtu ambae ana elimu ndogo kunisomesha ni Asso Pro. na hawajanisomesha more than 20% ya kozi zote. Sasa wewe mwenzangu sijui vp?
I am sure a "Master" degree is non existent! BUT Master of Science, Master of Divinity does exist, for example! One has a Masters degree in Chemistry, etc. I stand correction anyaway
 
A
Kwa kigezo cha angalau asilimia 50 ya walimu katika kila chuko kikuu kimoja wawe na shahada ya uzamivu(Ph.D) nadhani tutabaki na UDM na SUA tu. The rest ukianza na Mzumbe vitafungwa tu hakuna namna

aisee nafikiri unaiongelea mzumbe ya 2000s. Nenda kaangalie walivyosomesha walimu wao kwa sasa. Ilikuwa ni strategy kabisa. Tena wengi hawajasoma hapa nchini. Waliingia collaborations na vyuo vingine vya nje vikatoa partial scholarships the rest chuo kikachangia. Nowaday, PhD holders ni wengi kuliko unavyojua wewe.
 
Chuo chenye elimu nlioona ina ubora kutokana na wataalamu wake ni Ardhi tu... ukiwakuta kazini unakiri kweli wamesoma! heko kwao
 
Yaani siku hizi vyuo vimekuwa vingi utafikiri shule za Sekondari.
 
I am sure a "Master" degree is non existent! BUT Master of Science, Master of Divinity does exist, for example! One has a Masters degree in Chemistry, etc. I stand correction anyaw

Hahahahaha na wewe basi hakuna masters degree bali kuna Master's degree. wacha ujuaji nilipoandika Master watu wote wanafamu nimekusudia nini
 
Back
Top Bottom