Hilo swali lina uhusiano gani na ni namna gani graduate wa SUA angeweza ku-fight for postgraduate studies compared na yule wa MUHAS?Unavijua vigezo vya mtu kuajiriwa kufundisha chuo kikuu? Hasa vyuo vikuu vya uma, vikiwemo SUA na MUHAS
Hilo swali lina uhusiano gani na ni namna gani graduate wa SUA angeweza ku-fight for postgraduate studies compared na yule wa MUHAS?Unavijua vigezo vya mtu kuajiriwa kufundisha chuo kikuu? Hasa vyuo vikuu vya uma, vikiwemo SUA na MUHAS
Labda kama waliowasomesha PhD wamemaliza January hii na kurudi kazini, Mi nimemaliza masters yao mwaka huu ulioisha jana kampasi ya Dar, so najua nachoongea mkuu, najua walionifundisha wana elimu zipiA
aisee nafikiri unaiongelea mzumbe ya 2000s. Nenda kaangalie walivyosomesha walimu wao kwa sasa. Ilikuwa ni strategy kabisa. Tena wengi hawajasoma hapa nchini. Waliingia collaborations na vyuo vingine vya nje vikatoa partial scholarships the rest chuo kikachangia. Nowaday, PhD holders ni wengi kuliko unavyojua wewe.
Lakini si ni campas ya mzumbe mkuu, why hawafundishi wenye PhD?Duh! Pale Dar nahisi wanaenda vilaza wanaojua hawataimudu shule. Mi naongelea main campus. Degree ya Dar na main ni vitu viwili tofauti.
Na wakati huohuo, Utumishi wanasema wenye Ph.D wasitahafu wakifika miaka 60!!!!Na ndio maana nikasema kwa kigezo cha PhD ni vyuo 2 tu ndivyo vitakavyobaki!!
kwa kweli kwa kigezo cha nusu ya walimu kuwa na PHD naogopa hata kuhesabu idadi ya vyuo vitakavyobaki-itatokea disaster.Phd ilivyo ngumu hivyo, Waziri atasubiri sana
you are very right Chief!Hili la Phd nafikiri halitekelezeki
hata kwa vyuo vikuu vya serikali.
Waifute TEKUSerikali ina mpango wa kukagua vyuo vikuu vyote nchini na vile ambavyo vitakuwa havina sifa itavifunga bila kusita kwani haitaki watanzania wafanyiwe majaribio katika elimu.
Taarifa hiyo imetolewa na waziri wa Elimu,Prof. Ndalichako ambaye amesema vyuo vingi havina sifa licha ya vyuo hivyo kupewa ithibati.
Prof. Ndalichako amesema inatakiwa angalau asilimia 50 ya walimu katika kila chuko kikuu kimoja wawe na shahada ya uzamivu(Ph.D) na kwamba haitakiwi mwalimu mwenye shahada ya kwanza kufundisha wanafunzi wa shahada ya kwanza.
Prof. ameongeza kuwa uwepo wa vyuo vingi visivyo na sifa kunapelekea uwepo wa vijana wengi wasio na ajira mitaani na hivyo kuongeza hasira.
Chanzo: Nipashe
Prof. Kaeleza mengi ambayo ninahakika yakifanyiwa kazi,vyuo vingi vitafungwa na itakuwa majanga makubwa.
Si useme SAUT.
Sema tu saut maana ni chuo cha hovyo sana kwakweliKuna chuo kimoja cha prvt, kina matawi mikoa mingi, walimu wake nao ni tatizo,
Watafugia Kware...ni mradi unaolipa sana kwasasa.Sasa udom yale majengo yao watayafanyia nini kama ikitokea kikafungwa?