Vyuo Vikuu visivyo na sifa kufutwa!

Vyuo Vikuu visivyo na sifa kufutwa!

hicho kigezo cha nusu ya waalimu kuwa na phd ni too high .hata hivyo vyuo huanzishwa baada ya kusajiliwa na mamlaka husika.tusifurahie kuvifunga bali kuvitaka vizingatie viwango.
Hilo nalo neon...asilimia 50 wawe na PhD subiri watakuja na za kichina....
 
Huyu sasa anaanza kuboronga..mtu makini huwezi kutoa kauli ambayo unajua haitekelezeki. Hilo la kufunga vyuo ambavyo havina asilimia 50 ya wahadhiri wenye phd atachemka tu???
Aseme tu vyuo private haviruhusiwi. Maana udsm au sua wana connections nyingi kusomesha walimu phd na pia wanasoma wengine kwa pesa ya serikali kodi. Huwezi fananisha na private. Kwa nn vilisajiliwa
 
Kutokuwepo kwa ajira kunasababishwa zaid na kutokuwepo uwekezaji wa kutosha ktk sekta zinazozalisha ajira kwa wingi mfano viwanda vya usindikaj mazao ya kilimo, samaki, na mazao ya biashara, sidhan kama inasababishwa na ukosefu wa walimu wenye sifa ktka vyuo, unless kuna study imefanyika kuprove hiyo, nakubali vyuo vimekuwa vingi na ubora wake ni wa mashaka mfano vyuo vingi sana viko kariakoo havieleweki vizur, wakati tukifuta vyuo visivyo na sifa tuangalie pia je wahitaji walikuwa na sifa za kuingilia vyuon? kama wanazo na wamekosa vyuo linaweza kuwa tatizo jingine, ambalo linatukabili saiv, kuwa na wanafunz wenye sifa za kwenda chuo, pengine wengine wanaweza kujilipia lkn kwa ile kasumba ya kubalance supply ya wanaomaliza vyuo na nafasi za kaz ikasababisha kuwa na wataalam wachache mfano kwene fan ya udaktari.
Hawa maprofesa saa zingine ni kama wanapiga byombo
 
Unapotaa kuzalisha wataalamu ni lazima mazingira na watoa taaluma wakidhi vigezo vya utoaji wa hiyooo taaluma. Kufunga vyuo hakutasaidia maana hats kile kidogo kilichokua kinapatikana kitakosekana hats hivo kutaleta matatizo yafuatatyo
1. Kuongeza idadi ya watu wasio na ajira mtaanii hasa wale waitoayo taluma
2. Kuongeza idadi ya vijana wasiokua na elimu mtaaaniii kwa sababu hawajafanikiwa Kumaliza mafunzo kikamilifu
3. Kutaathiri ufanisi na utendaji wa taasisi ambazo zilikua zikishirikian na vyuo husika
Pendekezo: serikali itoe wataalamu kwa viwango wanavovihitajii kwa vyuo vya serikaliii kusaidia vyuo binafsii kipindi ambacho wamiliki wa vyuo wanapeleka malecturer kupata hizo shahada za udhamivu
Pia wamiliki wanaweza kuinvite wataalamu kutoka sehemu zingine kuja kutoa taaluma hyo mfano chuo kikuu cha dar kinamalecturer wazungu wengiii tuu though kina malecturer wazawa wengiiii so inabidi vyuo visaidiwe kupata wataalamu na kuhakikisha taaluma za wakufunzii kwa kila chuooo
 
kwahiyo wanataka kupunguza vyuo iliwatu wanaopata elimu ya juu wapungue na wasiisumbue serikali kuhusu ajila????,.baada ya ya kusema gvt iboreshe na kuwekeza ktk viwanda watu wapate ajila inataka kupunguza wasomi,,..ok,..hii si sawa,...wakati vyuo vinafunguliwa serikali ilikuwa wapi na kuruhusu uanzishwaji wa vyuo hivyo kiolela,..??hii napata picha ipo kisiasa zaidi,...kwanza hapa kwa msingi huu wa kupunguza wasomi inamana idadi ya watu ambao wangeajiliwa na kuchangia kodi itapungua,so nchi itajengwa na nan.Baada ya kufocus ktk kufufua viwanda viwaajili hao wasomi wanawaza kupunguza wasomi ambao msingi mbovu umejengwa na wao viongozi kwa tamaa zao pesa,..hapa swala serikali wanataka kupunguza idadi ya watu ambao wenye uwezo wa kuhoji na kupambanua mambo yakipuuzi yanayofanywa na serikali na sivinginevyo,..
 
Vyuo vingi vitafungwa hasa kwa kigezo cha walimu wenye sifa maana wengi wanaofundisha vyuo vikuu wana degree moja na wenye shahada za uzamivu ambao ndio wanatakiwa wewe angalau nusu ya walimu wote katika chuo kimoja ni wa kuhesabu kwenye vyuo vingi.
nawavifunge tu, angalau sasa heshima ya masters na PhD itarudi
cc: Mkoroshokigoli
 
wacha ku
Kwa medical school aliye kutangulia kusoma ndie mkubwa bro, Mwanafunzi wa masters(resident) husimamiwa na specialist au expert katika field husika na pia huyo resident anasifa za kuwasimamia MD students na Intern doctors. Mkuu utaalam wa maswala ya tiba ni exposure ktk cases mbalimbali na si vinginevyo.
Wacha hizo hakuna kitu kama hicho tunaposema ku supervise namaanisha kukupa maelekeze kwenye thesis yako una ambae anakuongoza kufanya research na kuandika thesis na sizungumzii wodini hata siku moja na vile vile kwenye mitihani lakini MUHAS kitu hicho ni cha kawaida
 
nawavifunge tu, angalau sasa heshima ya masters na PhD itarudi
cc: Mkoroshokigoli
Unadai hadhi ya PhD na masters ionekaneee!? Sijui una maana ganiii kwamba kwa kupungua watu wanaofanya masters kutapunguza idadiiii ya watuuu na hvo itaonesha kikundiii kidogooo tu cha watu ndo kinaelimu hyooo ama kitaongeza kwa mtazamoo wa kwamba itapatikana kwa viwango na vigezo sahihi
Kama ni hoja ya pili nakuunga mkono kama ni ya kwanza inawezekana elimu yako haikusaidiii katika kujenga mitizamo ya kisasa
 
Vyuo hivyo hivyo vina mamlaka ya kutoa hizo PhD. Hivyo atakuta wameshajipatia hizo PhD backdated kukidhi vigezo!
Ni kweli, St John's University kuna kipindi walilalamikiwa,kabla TCU hawajafika wakawapa watu u-professor fasta, Dr Malcom kuwa prof Malcolm. Wengine walikuwa SA kabla hawajamaliza wakapewa Dr's. Kichekesho walivyomaliza wakaajiriwa kwingineko lkn mpka kesho wapo kwenye Prospectus yao. Nenda St Joseph College of Engineering... Yaani mama prof fanya fasta au huwajui wa bongo
 
Unadai hadhi ya PhD na masters ionekaneee!? Sijui una maana ganiii kwamba kwa kupungua watu wanaofanya masters kutapunguza idadiiii ya watuuu na hvo itaonesha kikundiii kidogooo tu cha watu ndo kinaelimu hyooo ama kitaongeza kwa mtazamoo wa kwamba itapatikana kwa viwango na vigezo sahihi
Kama ni hoja ya pili nakuunga mkono kama ni ya kwanza inawezekana elimu yako haikusaidiii katika kujenga mitizamo ya kisasa
umeuliza ,kisha ukatoa majibu humo humo. asante kwa kunisemea!
 
Kwa hiyo hoja ya 50% ya wahadhiri kuwa PhD Holders, basi SUA , UDSM na Nelson Mandela University ndiyo vyuo vikuu pekee vitakavyosalia.
 

Hapana mkuu, neno master's(sio masters) linatumika pale unapounganisha na neno degree yaan master's degree. same applies to bachelor's degree.

Ndo maana kuna Master of science/art lakini hakuna masters of science

Pia Kuna bachelor of science/arts na sio bachelors of science/art
 
Back
Top Bottom