Sidhani kama uko sahihi!, UDSM nacho kinamatawi, kimetoa product yake kwa nchi wamebaki kukimbilia siasa na kuwa na mafisadi serikalini, tatizo hapa sio SAUT kufungua matawi mengi mikoani, Tatizo ni serikali zetu kushindwa kuweka mifumo bora ya kutoa elimu bora.Hiyo ni SAUT, kimeshusha sana hadhi ya vyuo vikuu. Kimefungua matawi kila mkoa na kinataka kuweka kila wilaya. Hii ni hatari sana.
Hata chama kisipoingilia kati, yeye mwenyewe hawezi kuwa na huo ubavu wa kufuta vyuo vyote! Manake sidhani kama kuna chuo chenye at least 50% PhD Lecturers ukiondoa UDSM na SUA...
Kuna chuo kimoja cha prvt, kina matawi mikoa mingi, walimu wake nao ni tatizo,
Hili la Phd nafikiri halitekelezeki
hata kwa vyuo vikuu vya serikali.
Prof. Ndalichako naomba atazame pia kwenye suala kudahili yaani unakuta mtu kapata E E S alafu yupo chuo kikuu anachukua Education na anapata mkopo kama kawaida. Kiukweli hivi vyuo vikuu uchwara vimekuwa kimbilio la watu wenye ufahulu hafifu na kibaya zaidi wanakimbilia kwenye kozi za education ili wapate mikopo.
Serikali ina mpango wa kukagua vyuo vikuu vyote nchini na vile ambavyo vitakuwa havina sifa itavifunga bila kusita kwani haitaki watanzania wafanyiwe majaribio katika elimu.
Taarifa hiyo imetolewa na waziri wa Elimu,Prof. Ndalichako ambaye amesema vyuo vingi havina sifa licha ya vyuo hivyo kupewa ithibati.
Prof. Ndalichako amesema inatakiwa angalau asilimia 50 ya walimu katika kila chuko kikuu kimoja wawe na shahada ya uzamivu(Ph.D) na kwamba haitakiwi mwalimu mwenye shahada ya kwanza kufundisha wanafunzi wa shahada ya kwanza.
Prof. ameongeza kuwa uwepo wa vyuo vingi visivyo na sifa kunapelekea uwepo wa vijana wengi wasio na ajira mitaani na hivyo kuongeza hasira.
Chanzo: Nipashe
Prof. Kaeleza mengi ambayo ninahakika yakifanyiwa kazi,vyuo vingi vitafungwa na itakuwa majanga makubwa.

Hapo kwenye red, Prof. Kabugi, kwa hiyo hivyo vyuo vikifutwa ndo vijana watapata ajira?? Hofu yake kuu ni vijana wasio na ajira wanaozalishwa na hivi vyuo au??vipi wale wasio na elimu ya chuo ila hawana ajira??Serikali ina mpango wa kukagua vyuo vikuu vyote nchini na vile ambavyo vitakuwa havina sifa itavifunga bila kusita kwani haitaki watanzania wafanyiwe majaribio katika elimu.
Taarifa hiyo imetolewa na waziri wa Elimu,Prof. Ndalichako ambaye amesema vyuo vingi havina sifa licha ya vyuo hivyo kupewa ithibati.
Prof. Ndalichako amesema inatakiwa angalau asilimia 50 ya walimu katika kila chuko kikuu kimoja wawe na shahada ya uzamivu(Ph.D) na kwamba haitakiwi mwalimu mwenye shahada ya kwanza kufundisha wanafunzi wa shahada ya kwanza.
Prof. ameongeza kuwa uwepo wa vyuo vingi visivyo na sifa kunapelekea uwepo wa vijana wengi wasio na ajira mitaani na hivyo kuongeza hasira.
Chanzo: Nipashe
Prof. Kaeleza mengi ambayo ninahakika yakifanyiwa kazi,vyuo vingi vitafungwa na itakuwa majanga makubwa.
Kuna mwalimu wa PhD? Anakua na sifa gani? Nani anamtunuku hizo sifa?
Naunga mkono hoja ya kuhakiki viwango na ubora wa elimu na kuchukua hatua stahiki.
Licha ya ugumu pia..hela ya ada ni ndefu kama hujafadhiliwaPhd ilivyo ngumu hivyo, Waziri atasubiri sana
Moja ya sifa tuliyo nayo sisi watanzania ni kulalamika, kulalamika na kulalamika. Sasa mawaziri tatizo lao ni nini haswa?! Watanzania tumezidi kuvunja taratibu, mtu akizingatia taratibu anaitwa mnoko na hapendwi na jamii. Tulitaka mabadiliko na mabadiliko yenyewe ndiyo haya, sasa watu wanalalamika. Serikali ya sasa na mawaziri wake hawajaleta sheria, taratibu wala kanuni mpya. wanatekeleza zilizopo na ambazo zilikuwa hazitekelezwi, sasa wengi wanaona shida... Nchi hii inahitaji dikteta kutawala na kushughulikia wote vichwa ngumu kwa kuwachalaza 'bakora' kwa maana ya kuwapa adhabu stahili.Hawa mawaziri wetu ni tatizo sana
Kwa kweli tuwe wakweli, la PhD watazuia vyuo karibu vyote! 50% ya lecturers?? Bado sana!Hili la Phd nafikiri halitekelezeki
hata kwa vyuo vikuu vya serikali.
Wamalize waje kwenye vyuo vya ualimu.Kwa vigezo hivyo vitafungwa vyuo vingi sana. Pale MUHAS mwalimu ana master ana msupervise master student.. only in Tz
Nadhani hoja yake hapa wanakuwa hawa-fit kwenye soko la ajira kwakuwa wanakuwa watupu vichwani.Hapo kwenye red, Prof. Kabugi, kwa hiyo hivyo vyuo vikifutwa ndo vijana watapata ajira?? Hofu yake kuu ni vijana wasio na ajira wanaozalishwa na hivi vyuo au??vipi wale wasio na elimu ya chuo ila hawana ajira??