Vyuo Vikuu DRC Bravo Kwenu

Vyuo Vikuu DRC Bravo Kwenu

msumeno

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2009
Posts
2,826
Reaction score
1,738
Waungwana japo hawa ndugu zetu wako kwenye magumu ya vita lakini mfumo wao wa elimu kwa level ya University nimeupenda hasa kwa wahitimu.

Wa-congo mwaka wa mwisho wa chuo na baada ya ku submit final report, mambo huwa hayajaisha maana unatakiwa ufanye kinacho itwa ''defence du memoire de fin d'etudes'' hii huwa ni sherehe kubwa tunaweza sema ni ya kuaibishana au kuchukua ujiko... huwa ni siku maaalum kwa kila taaluma.

Jopo la wakufunzi huipitia report yako mbele ya umati wa wanafuzi wenzako na ndugu jamaa na marafiki na hata waajiri wako, wanakuuliza maswali na unatakiwa kutoa majibu sahihi... na kuna wakati huuliza maswali nje ya report. Kulingana na majibu yako huweza jua kama umefaulu au la!!

Hakuna blah blah unajibu na kila mtu anasikia zile zetu za kusema umeonewa ,, au zile za kutoa rushwa na au INKIND hakuna maana utawapa wangapi na zile za Ze...ze...ze ai mini, akchuare.

Pia ni shida maana lugha uliyofundishiwa ndio hiyo unayoitumia kujibu maswali kwenye halaiki.Mbele ya wanao na mkeo.Kama kichwani ni ZERO mkeo na wanao watajua.

Watu wanasoma sana kuepuka aibu hii, imagine unashidwa kujibu mbele ya mwajiri wako si ndio kazi kwishnehi.
 
hivi hawa wanetu wanaomaliza vyu miaka hii ( sio wote) ukimuweka mbele ya halaiki atetee fina report yake wangapi wanaweza... hizi report za ku google na kupaste?
 
Hebuu tupee mfano wa vyuoo vya congo najua wengi havitujui...???
 
Bongo mtu anafanyiwa mpaka dissertetion.hatari sana.
 
Waungwana japo hawa ndugu zetu wako kwenye magumu ya vita lakini mfumo wao wa elimu kwa level ya University nimeupenda hasa kwa wahitimu.

Mfumo wa elimu wa kongo uko hovyo tena sana tu na haufai kuigwa.Mfumo gani wa elimu ambao hauwezi toa wasomi wa kuifanya nchi iwe na amani na utulivu? Na ijitawale yenyewe. Kongo watanzania unaowaponda wako kule kuwasaidia wakongo wasomi hao unaowasifia waishi kwa amani.!! Kongo inatawaliwa na umoja wa mataifa!!! Kuna wasomi hapo.Kongo wako chini ya mkoloni UN

Elimu ya juu waliyonayo wa kongo ni ya ndombolo ya solo ya kuimba na kunengua viuno miziki ya kikongo na kujipodoa saluni
 
Hebuu tupee mfano wa vyuoo vya congo najua wengi havitujui...???

Université adventiste de Goma
[h=1]Université de Goma[/h][h=1]Université libre des Pays des Grands Lacs[/h] Université du Kivu

hivi viko goma na ambapo ninaishi kwa sasa,, nadhani kuna vingine nimesahau
 
Mfumo wa elimu wa kongo uko hovyo tena sana tu na haufai kuigwa.Mfumo gani wa elimu ambao hauwezi toa wasomi wa kuifanya nchi iwe na amani na utulivu? Na ijitawale yenyewe. Kongo watanzania unaowaponda wako kule kuwasaidia wakongo wasomi hao unaowasifia waishi kwa amani.!! Kongo inatawaliwa na umoja wa mataifa!!! Kuna wasomi hapo.Kongo wako chini ya mkoloni UN

Elimu ya juu waliyonayo wa kongo ni ya ndombolo ya solo ya kuimba na kunengua viuno miziki ya kikongo na kujipodoa saluni

Unasema ni kwa vile huwajui wacongo,, hata hao wanamusic ambao ni sehemu ndogo tu kwenye population ya watu zaidi ya mil 70 wengi waoo wasomi kabisa tafuta profile zao.... hata mimi nilijua mcongo zake ni ku dance nilijidanganya... kwanza hao unaowaita UN wako huku Estern Congo kuna sehemu kubwa ya kongo tulivu na UN hawako huko, ila kwa vile wewe una diploma ya ubishi nibishie tu
 
Kongo haijatoa chuo bora hata kimoja katika vyuo mia moja bora Afrika.Angalia Vyuo bora kimpangilio wa ubora

1 Cairo University Egypt
2 University of Cape Town South Africa
3 Universiteit Stellenbosch South Africa
4 University of Pretoria South Africa
5 University of the Witwatersrand South Africa
6 Mansoura University Egypt
7 University of KwaZulu-Natal South Africa
8 University of Nairobi Kenya
9 Alexandria University Egypt
10 University of Dar es Salaam Tanzania
11 Université de Ouagadougou Burkina Faso
12 Université Mohammed V - Agdal Morocco
13 University of South Africa South Africa
14 Polytechnic of Namibia Namibia
15 University of the Western Cape South Africa
16 German University in Cairo Egypt
17 University of Johannesburg South Africa
18 Rhodes University South Africa
19 Cape Peninsula University of Technology South Africa
20 Zagazig University Egypt
21 University of Khartoum Sudan
22 Université Cadi Ayyad Morocco
23 University of Botswana Botswana
24 Tshwane University of Technology South Africa
25 Obafemi Awolowo University Nigeria
26 Assiut University Egypt
27 Université d'Alger Algeria
28 Makerere University Uganda
29 Université de la Reunion Reunion
30 Université de Batna Algeria
31 Universidade Eduardo Mondlane Mozambique
32 University of Ibadan Nigeria
33 University of Mauritius Mauritius
34 University of Ghana Ghana
35 Université Nationale du Rwanda Rwanda
36 Université Cheikh Anta Diop Senegal
37 Addis Ababa University Ethiopia
38 University of Zimbabwe Zimbabwe
39 University of Namibia Namibia
40 Kenyatta University Kenya
41 Menoufia University Egypt
42 University of Zambia Zambia
43 Université Ibn Zohr Morocco
44 Université Hassan II - Mohammedia Morocco
45 Sokoine University of Agriculture Tanzania
46 Université de Sousse Tunisia
47 Université de Tunis El Manar Tunisia
48 Université de Tunis Tunisia
49 Université de Sfax Tunisia
50 Uganda Martyrs University Uganda
51 University of Lagos Nigeria
52 American University in Cairo Egypt
53 Ain Shams University Egypt
54 University of Ilorin Nigeria
55 Nelson Mandela Metropolitan University South Africa
56 University of the Free State South Africa
57 North-West University South Africa
58 Université Abou Bekr Belkaid Tlemcen Algeria
59 Mauritius Institute of Education Mauritius
60 Université des Sciences et de la Technologie "Houari Boumediène" Algeria
61 Institut International d'Ingénierie de l'Eau et de l'Environnement (2iE) Burkina Faso
62 University of Port Harcourt Nigeria
63 Central University of Technology South Africa
64 Sudan University for Science and Technology Sudan
65 Université d'Oran Algeria
66 Durban University of Technology South Africa
67 Al Akhawayn University Morocco
68 Walter Sisulu University for Technology and Science South Africa
69 University of Technology, Mauritius Mauritius
70 Université Mentouri de Constantine Algeria
71 Strathmore University Kenya
72 Université Saad Dahlab de Blida Algeria
73 University of Agriculture, Abeokuta Nigeria
74 Université des Sciences et de la Technologie Mohamed Boudiaf d'Oran Algeria
75 Federal University of Technology, Akure Nigeria
76 Ladoke Akintola University of Technology Nigeria
77 South Valley University Egypt
78 Kwame Nkrumah University of Science and Technology Ghana
79 Université Abdelhamid Ibn Badis de Mostaganem Algeria
80 Université M'hamed Bouguerra de Boumerdes Algeria
81 Université Amar Telidji de Laghouat Algeria
82 United States International University Kenya
83 Lagos State University Nigeria
84 Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology Kenya
85 Al Azhar University Egypt
86 University of Benin Nigeria
87 Uganda Christian University Uganda
88 Université Djillali Liabes Algeria
89 Vaal University of Technology South Africa
90 Université Mohammed V - Souissi Morocco
91 Suez Canal University Egypt
92 University of Fort Hare South Africa
93 University of Limpopo South Africa
94 Université Badji Mokhtar de Annaba Algeria
95 Université Ferhat Abbas de Sétif Algeria
96 Ecole Nationale Polytechnique Algeria
97 Jimma University Ethiopia
98 Université de Béjaïa Algeria
99 Ahmadu Bello University Nigeria
100 Nile University Egypt
 
Waungwana japo hawa ndugu zetu wako kwenye magumu ya vita lakini mfumo wao wa elimu kwa level ya University nimeupenda hasa kwa wahitimu.

Wa-congo mwaka wa mwisho wa chuo na baada ya ku submit final report, mambo huwa hayajaisha maana unatakiwa ufanye kinacho itwa ''defence du memoire de fin d'etudes'' hii huwa ni sherehe kubwa tunaweza sema ni ya kuaibishana au kuchukua ujiko... huwa ni siku maaalum kwa kila taaluma.

Jopo la wakufunzi huipitia report yako mbele ya umati wa wanafuzi wenzako na ndugu jamaa na marafiki na hata waajiri wako, wanakuuliza maswali na unatakiwa kutoa majibu sahihi... na kuna wakati huuliza maswali nje ya report. Kulingana na majibu yako huweza jua kama umefaulu au la!!

Hakuna blah blah unajibu na kila mtu anasikia zile zetu za kusema umeonewa ,, au zile za kutoa rushwa na au INKIND hakuna maana utawapa wangapi na zile za Ze...ze...ze ai mini, akchuare.

Pia ni shida maana lugha uliyofundishiwa ndio hiyo unayoitumia kujibu maswali kwenye halaiki.Mbele ya wanao na mkeo.Kama kichwani ni ZERO mkeo na wanao watajua.

Watu wanasoma sana kuepuka aibu hii, imagine unashidwa kujibu mbele ya mwajiri wako si ndio kazi kwishnehi.

Hivyo vyuo vikuu vya DRC unavijua? Ulishawahi kuviona? Nenda ukavione kwanza hivyo wanavyoviita "vyuo vikuu" kisha uje utupe feedback. Tatizo la watz wengi tunapenda kusifia vya nje hata kama ni vya hovyo......ukifika hata Kinshasa huwezi hata kuamini kuwa watu wnaoishi pale kwa ustaarabu wao wa hovyo wamesoma hata ngazi ya cheti....nawe unakuja na ----- wa kusifu vitu usivyovijua.
 
Nilisikia products zao wanafunzi waliosoma University huko Congo ni the best in Africa hahah
 
Unasema ni kwa vile huwajui wacongo,, hata hao wanamusic ambao ni sehemu ndogo tu kwenye population ya watu zaidi ya mil 70 wengi waoo wasomi kabisa tafuta profile zao.... hata mimi nilijua mcongo zake ni ku dance nilijidanganya... kwanza hao unaowaita UN wako huku Estern Congo kuna sehemu kubwa ya kongo tulivu na UN hawako huko, ila kwa vile wewe una diploma ya ubishi nibishie tu

Kama Ni kweli mbona hatuwaoni kwenye kazi ma ofisin huku kwenye jumuiya ya Africa mashariki sanasana tunawaona bize kusuka dada zetu na kusafisha Kucha. nataka kuanzisha saluni kama vp niku PM unisaidie kutafuta wanaume wa 3, waje kusuka wateja hapa
 
Hiyo DRC ni ya mwisho kwa umasikin duniani,hiyo elimu imewasaidiaje?
 
Mleta mada umekuja na blah blah watu wanataka data. Huyo jamaa kakuwekea data za vyuo100 bora Africa lakini Congo haipo. Sasa wewe unatuaminishaje kama wanafunzi wao ni bora kuliko tz? Au kwa kuwa upo huko ndio unaona kila kitu safi? Hivi ulushawahi ona wanafunzi wa kibongo ambao wanakwenda kusoma vyuo vya Congo? Labda muziki ila pia sijawahi kusikia. Ila we subiri mabomu na mirindimo ya risasi utakuja tena hapa na kusema tz is the best to live
 
Back
Top Bottom