Vyuo vikuu binafsi taabani kifedha

Wewe ni Mkuda!! Uzi wako upo kikuda zaidi. Nani amekwambia vyuo bora ni vya serikali TU. Narudia tena, wewe ni Mkuda!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yaani hiyo system ya kuchagua vyuo kupitia TCU hakika ilikuwa inazingua mnooo yaani Dr. Magufuli kuwa kataza kuwapangia vyuo wanafunzi imependeza mnooo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nmecheka kwa sauti japo inaumiza bro alafu siku izi muda wa kulipa TRA ukifika awakukumbushi siku ukienda kulipa na faini tu ndo malupu lupu washagundua plan B yakupiga hela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunalazimisha kuwa na vyuo vikuu. Wageuze hivyo vyuo viwe vya ufundi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nmecheka kwa sauti japo inaumiza bro alafu siku izi muda wa kulipa TRA ukifika awakukumbushi siku ukienda kulipa na faini tu ndo malupu lupu washagundua plan B yakupiga hela

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna mwana wangu mmoja ana kampuni mitaa ya Mikocheni kapigwa kitu cha 2Bil kachoka na maisha kabisa!

Wameenda kuvumbua maVAT ya tangu 2014!

Kaenda Moshi jana mara moja akaoge mtoni Dar hali mbaya!

Wale machalii walivyo wanga wanakuzindua kwa kukuonesha excel sheet kwanza halafu wanakwambia nenda uje next week!
 
Mbona unaonekana ka fake materials fulani hivii...

muangamie kabisa..mmeWAibia sana masikini ada zao na sasa wako mtaani hawaajiriki.
 
Nawafahamu wafanyakazi wote wa SAUT chuga...nawaza hapa utakua nani wew..ila kuna mfanyakaz mmoja nahisi labda ni wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…