Vyuo na Taasisi za Elimu ya Ushirikina duniani

Vyuo na Taasisi za Elimu ya Ushirikina duniani

Khaaa anataka dollar 100..
 
Attachments

  • 1450986875659.jpg
    1450986875659.jpg
    53.5 KB · Views: 460
Mshana Jr nashindwa kukuelewa una mtazamo gani kuhusu uchawi na wachawi je ni watu wazuli ktkr jamii au ungetamani waache siku moja na kuokoka?
Je uchawi ni mzuri au ni mbaya?
Mtazamo na maoni yako tafadhari.
 
Uchawi ni kama moto au kama gesi au kama gari nk inategemea unakitumiaje... Ukitumia vibaya utapata madhara Ukitumia vizuri utapata faida... Ni kama bhangi tu sio mbaya kama vile tunavyoaminishwa... It's a kind of brainwashing

Mtazamo wangu:
Uchawi wenye kuokoa maisha, uchawi wenye kutibu uchawi wenye manufaa uchawi usio na madhara kwa wengine huo naupenda... Kinyume na hapo hapana
 
Kuna mahali nimesoma umeandika kwamba wachawi wanaweza Fanya uchawi au uwangaji wao mahali popote bila shida ila wanapofika kwa walolokole Mara zote hukwama.

Sasa kwa nini usiwahamasishe watu kutafuta elimu hii ya walokole ambayo ina nguvu zaidi ya uchawi .
Kuliko Kuwaonyesha vyuo vya kichawi?
 
Ahsante Mkuu. Nakuangalia kwa jicho la tatu.
 
Attachments

  • images (1).jpg
    images (1).jpg
    9 KB · Views: 360
  • k27740998.jpg
    k27740998.jpg
    6.6 KB · Views: 352
  • download.jpg
    download.jpg
    7.6 KB · Views: 347
  • images (3).jpg
    images (3).jpg
    6.9 KB · Views: 345
  • images (2).jpg
    images (2).jpg
    7.9 KB · Views: 348
  • images (5).jpg
    images (5).jpg
    6.9 KB · Views: 452
  • canadian-flag_2.jpg
    canadian-flag_2.jpg
    23.8 KB · Views: 423
  • images (7).jpg
    images (7).jpg
    8.4 KB · Views: 446
  • images (6).jpg
    images (6).jpg
    8.8 KB · Views: 343
mkuu mshana hizo symbol za vitu ulivyovileta vinafanana kabisa na hivyo picha nilizo post hasa hiyo bendera ya nchi ya ISRAEL ndio kabisa unataka kuniambia uchawi ulianzia israel maana wao ndo pekee bendera yao ipo kama hizo symbol za kichawi ulizoweka hapo
 
David Ben-Gurion ni kwa nini aliweka symbol ya kichawi kwenye bendera ya israel huku sisi tunaamini israel ni taifa teule la mwenyezi mungu
 
hivi ni kwa nin i wachawi hawawezi kuiba benki au benki nazo unakuta zimezindikwa
 
Kama uchawi unaweza kutatua matatizo yetu ya kijamii,basi hatuna budi kuutumia. Wazungu na bara Asia wenzetu wanautumia sisi tunaishia kuuponda. Inabidi tubadilike. Big up mshana jr kwa kudadavua mambo haya kwa undani..
 
Last edited by a moderator:
Kuna mahali nimesoma umeandika kwamba wachawi wanaweza Fanya uchawi au uwangaji wao mahali popote bila shida ila wanapofika kwa walolokole Mara zote hukwama.

Sasa kwa nini usiwahamasishe watu kutafuta elimu hii ya walokole ambayo ina nguvu zaidi ya uchawi .
Kuliko Kuwaonyesha vyuo vya kichawi?

Ulokole si elimu bali ni jambo la kiroho linalohitaji neema toka kwa Mungu na uchaji wa roho mtakatifu.... Maandiko yanasema ni kwa NEEMA tu tutaokolewa na si kwa elimu umaarufu au utajiri wetu
 
Back
Top Bottom