Vyuo na Taasisi za Elimu ya Ushirikina duniani

Vyuo na Taasisi za Elimu ya Ushirikina duniani

mkuu mshana hizo symbol za vitu ulivyovileta vinafanana kabisa na hivyo picha nilizo post hasa hiyo bendera ya nchi ya ISRAEL ndio kabisa unataka kuniambia uchawi ulianzia israel maana wao ndo pekee bendera yao ipo kama hizo symbol za kichawi ulizoweka hapo

Soma habari za Musa na wana wa Israel, habari za Babylon, fimbo ya Musa kuvuka jangwani na vita ya wa Israel na wafilist au wanaefili nafikiri, kuna uchawi mwingi sana pale
Lakini alama ya pembetatu inayotengeneza nyota hebu iangalie vizuri, kama moja imeangalia chini na mbili zimeangalia juu hiyo inawakilisha shetani uchawi au mpinga Kristo, lakini kama mbili ncha mbili ndio zimekita chini hiyo ni alama inayowakilisha nyota ya alfajiri au nyota njema nyota ya jaha
 
1451007049038.jpg
David Ben-Gurion ni kwa nini aliweka symbol ya kichawi kwenye bendera ya israel huku sisi tunaamini israel ni taifa teule la mwenyezi mungu

Kwanza vyote ni uumbaji wa Mungu ukiwemo uchawi lakini pia angalia utofauti wa picha hizi mbili bendera ya Canada na ya Israel 1451007049038.jpg 1451007077006.jpg picha ya bendera ya Canada ncha za zimelalia chini alama ya kichwa cha mbuzi, alama ya kuzimu, kishetani wakati ncha za bendera ya Israel hazijaangalia chini
 
hivi ni kwa nin i wachawi hawawezi kuiba benki au benki nazo unakuta zimezindikwa

Bank zinaibiwa sana lakini kwanza makafara yake ni Makubwa, pia kinachoibiwa hakitambuliki kirahisi kwasababu kimeibiwa kichawi na hakuna palipo vunjwa sasa kwenye Ulimwengu wa kawaida utaanzaje kusema umeibiwa?
 
Soma habari za Musa na wana wa Israel, habari za Babylon, fimbo ya Musa kuvuka jangwani na vita ya wa Israel na wafilist au wanaefili nafikiri, kuna uchawi mwingi sana pale
Lakini alama ya pembetatu inayotengeneza nyota hebu iangalie vizuri, kama moja imeangalia chini na mbili zimeangalia juu hiyo inawakilisha shetani uchawi au mpinga Kristo, lakini kama mbili ncha mbili ndio zimekita chini hiyo ni alama inayowakilisha nyota ya alfajiri au nyota njema nyota ya jaha

kwenye biblia wanaonyesha hizo nguvu zimetoka kwa mungu.
Labda nikuulize nguvu za uchawi zinatoka wapi? Au za mazingaombwe ninayotaka kujifunza?
 
kwenye biblia wanaonyesha hizo nguvu zimetoka kwa mungu.
Labda nikuulize nguvu za uchawi zinatoka wapi? Au za mazingaombwe ninayotaka kujifunza?

Dunia na vyote viijazavyo ni mali yake, naam binadamu na vyote vilivyomo...... Kwenye kila kitu kuna hasi na chanya kwahiyo kitu hicho hicho ukikitumia vibaya kikadhuru huo ni ushetani lakini nguvu hiyo hiyo ukiitumia ikaleta matunda mema huo ni uungu
 
mkuu hiyo ya bendera ya canada imegeuzwa juu chini au bado maana ni ile ile

Haiwi hivyo imegeuzwa kwa malengo maalum hasa ya kukufumbua macho kuwa kitu hicho hicho kimoja kinaweza kuwa na tafsiri mbili tofauti kutegemeana na utakavyokitumia, tafsiri ya kwanza ikiwa ni chanya (Uungu) na ya pili hasi (ushetani)
 
Nafikiri hapana muda mrefu nitaanzisha somo la "how we can use pentagram in our daily life"especially in white magic -
 
Nilikuwa mmojawao ila tukakutana na vizingiti kibao serikalini ila sijakata tamaa kwakuwa mahitaji yapo na ni makubwa
Hao waliowawekea vizingiti simngewaroga tuu..
Hcho chuo mkianzisha msisahau kuweka na ile corse ya kuchota pesa Bank.
 
......how you can install this powerfull symbol to , let say money or country flags to make it powerfull?...another lessons.
 
Back
Top Bottom