Vyumba vya mateso

Kwakweli hapo pagumu.mpaka acmamiwe na mwakyembe,ili acje akatetereka kusema kilimchomkuta,hapokuna cri nzito sn, na tucmlaumu/tucmhukumu huyu mtt ! Nakadhibitiwa mapema ili hata baadae akivujisha kilichomkuta,aonekane mwongo.
Mbona alishasema vile,na leo hivi.hizi ni mbinu za kudhibiti,ccm ickosolewe,wala kunyooshewa kidole,waweze kututawala kwa mateso yote watakayo.km mtu anakua na ujacri kutaja viongozi waliopita waliua watu ! Hii ina maana tunahabarishawa,kua hata cc tunyamaze,hatuposalama tena.Haya wananchi tafakari tumeachiwa cc.ila kusema tutasema,alimradi tuseme ya kweli,ili Mungu atutetee ktk vita hii.Mungu hakuna uclolijua lililo crini mwa serikali,nawatesaji wake.nakwakua wanaoeleza tatizo ni ccm wenzao,inamaana wanasema wanachokiju
a,itoshe tu cc tujikabidhi,kwako Ww ucye tekwa wala kuteshwa,tukiamini kwako tu ndiko kwenye usalama, wetu,na uzao wetu.Mungu tazama huu umekua co tena usalama wa taifa,bali uhatari wa taifa.asante sana Muumba wetu,kwakua tunajua na kuamini hakuna linalokushinda,Amen
 
mmm!! aiseh hizo picha unatutisha
 
Wana siasa wawe makini na matumizi ya vyombo vya dola.
 
Tatizo wanaoratibu hawajui kuwa wamebakisa siku chache za kuaibika.Pride comes before a fall..
 
Ameen Mtumishi
 
Naongeza

Madili kutokwenda ipasavyo kati ya watu, na hivyo kuumizana kivyovyote. Wengine pia wakidhulumiana pesa etc
Kuna watu wa kutolewa kafara ila upinzani na mbinu za kukabiliana huanza hapo..

Ulicho nacho kuna ambao watatafuta zaidi yako.

Let it be
 
Aina nyingine ya mateso yasiyoonekana lakini yenye madhara makubwa ni kupuliziwa kemikali za sumu zinazoshambulia mfumo wa hewa na fahamu
 
Bwana ayoub we ni muislam unajua kwahyo vitu vinavyohusu biblia ni vizuri ukavifanyia utafiti kwanza,suala LA kuteswa ni kama msiba akiupata mwenzio ni rahisi kwako ila ukiupata wewe na ukakuhusu Kwa umpendae ndio utajua vizuri,bwana yesu Kwa taarifa yako mateso yalimuingia mpaka akajuta na kuanza kutoa lawama Kwa baba mungu,kumbuka maneno kama baba mungu mbona umeniacha?,ingewezekana kikombe hiki kiniepuke lakini si Kwa mapenzi yangu,imetosha baba imetosha,haya yooote ni maneno aliyotamka Kwa uchungu WA maumivu ya mateso na huyo alikuwa yesu mwenye uwezo aliokuwa nao,vipi wewe a mere human being?acha kauli nyepesi nyepes kaka.
Hapa ni pagumu. Wamuache kijana Roma anyamaze. Hana ubavu wakupingana n jambo hili. Waliokuwa wanalaumu wasome hii post wakojoe wakalale.
 
Ni kweli kbs lkn hao walikuwa manabii. Yote hayo yalutokea ili kuleta ujumbe au fundisho kwa wanadamu kuonyesha utukufu wa mungu. Hakuna km manabii tn. Wenzetu wanaamini Yesu alisulibiwa . Kizazi cha leo nani atavumilia misumari? Roma kama ametishwa asiseme akisema watamfanyizia tu. Acha wabunge n vyombo vingine lipambane n jambo hili.

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Mshana umeandika ukweli mtupu,mtu akitekwa popote duniani hawezi katu kuyasahau aliyotendewa wala kuyaongelea hadharani na huwa mara nyingi wakishakuteka na kupata walichokitaka wanakumalizia mbali.Ni bahati kurudishwa duniani baada ya kutekwa na kuteswa.
 
Usikute hata wamefanyiwa mchezo mbaya maana kuwa mateka yasiyo julikana huwa ni mbaya na lengo la utekaji huwa sio zuri hata Siku moja usikute wamewatoa hata marinda kabisa masikini wa mungu!
Halafu ndio akaseme kwenye public...Haaahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…