Vyoo vya kukaa vimenishinda

Duh tuko kinyume aisee, mm choo cha shimo sikipendi kabisa. Cha kukaa unastarehe sana taratibu bila haraka. Hata dakika 15
Unapiga na simu kabisa huku unashusha might!
Tunavitumia Ila havifai !!!
Ni vizuri kwa wazee!
 
Pole sana mkuu... Mdau alitoa idea ya kujaza TPs apo😂😂😂
 
Ka ni cha jamiii..public
1. Chukua toilet paper kiasi dondosha ndani...halafu juu unapokalia zungushia toilet paper
2. Wakati tuko chuo tulikuwa tunasubiri wakimaliza usafi unachukua gazeti unaliweka juu una TOBOA tundu unalengaaa
3. Kuubeba mzigo hadi vyooo vya jirani vya kuchuchumaaaa
4. Kupanda juu ya chooo...ila ni hatariii waweza telezaa ukakanyagaaa (ivi why unaogopa gogo ulilokata mwenyewe?)
5. Kawaida KINU kina mifuniko miwili...(angalia picha mwambato) ..WENGI HATUJUI matumizi ya mfuniko huo wenye tundu?


USHAURI kwa mtoa mada....chukua maji ya motoo weka deto suuza KINUUU..uwe unamwaga deto na viua tilifu mara kwa mara....
Vinu vingine maumbo yake shidaaa...vipo ukikata gogo ladondoka majini..vingine halidondoki majini usipokuwa makini gogo laweza fika karibu na JICHO
 

Attachments

  • chooo.jpg
    25.2 KB · Views: 30
Kwa choo public ukifika kwanza flash kabla hujaanza shughuli yako, then wengi huwa wanakaa kwenye plastic, mm huwa naiondoa ile nakalia ceramic yenyewe, kama kuna tishu unaeza weka ila kama hazipo kaa hivohivo hakuna shida. Hivi vyoo ni vibaya kwa wanawake tu, ila wanaume haina shida
 
Me huwa namwaga povu la sabuni ya unga kabla ya kuchutama,, huwa linazuia maji kunirukia na pia kuua bakteria, kwa ufupi vyoo vya kukaa ni havifai labda kwa wale ambao umri umeenda au wagonjwa
 
Nimecheka sana,umenifurahisha kweli,.ni kweli siyo vzr kiafya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…