Vyoo vya kukaa vimenishinda

Mkuuu umenipa tekniki moja nzuri sana hiyo ya kuweka TP nitafanya hivyo
 
Mimi najua wanaume huwa hamkagi gogo..[emoji23][emoji23][emoji23]
Umenikumbusha umama thread wewe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]


Mwanaume kukata gogo akiwa amekaa/amechutama, huo ni umama, mwanaume wa kweli anakata gogo akiwa amesimama au anatembea[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ukishakata gogo the unashenena kwa kwenda mbele.
 
Hahhaha mkuu inaonekana kwako choo kinasafishwa na dawa kama nne hivi,anyway huunushauri wako nitaufanyia kazi.
 
Kuwa maridadi huwa kuna capet maalumu huzungushwa pale ndio maana nazidi kusema inatakiwa usafi wa hali ya juu.... Nyumba yeyote usafi unaingatiwa kwenye CHOO na jikoni ndio sehemu muhimu kwenye nyumba full stop mengine mbwembwe tuu
Mkuu unaonekana umebobea kwenye mambo ya usafi,wewe kwako wageni watakua wanapata tabu kuendana na level zako za usafi.
 
Hahahha nitakuja kuanguka bure...mku ilikuaje hebu simuliaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…