makundubhyali
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 2,389
- 886
Mkuu itabidi uzoee, kuna baadhi ya nchi hasa za magharibi ukienda ni nadra kupata public toilet ya kuchuchumaa na hata Nigeria Lagos na Abuja sikuwani kupata public toilet za kuchuchumaa mpaka nilikuwa naenda kwenye mghahawa ndo nilizipata.Habari wakuu,natumai mko vyedi kabisaa katika harakati za kusaka noti.Niende kwenye point,hivi karibuni nilikuja hapa jf nikaandika uzi wa kutafuta chumba so baada ya muda nikapata,sasa kimbembe hii room ina choo cha kukaa (KINU).
kiukweli toka nizaliwe sijawahi kuishi nyumba yenye choo cha aina hii,hivyo matumizi yake ni mtihani kwangu.
Kukaa napata shida mara ndonga iingie kwenye maji,mara mzigo ukishuka kwa uzito wa hali ya juu unasababisha mlipuko wa maji yananirukia makalioni dah,yani napata tabu sana kifupi mpaka nimekua nikienda kutumia choo cha kuchutama kwa rafiki yangu wa karibu.
Kazi njema wote.
Kweli inabidi nijiandae kisaikolojiaaMkuu itabidi uzoee, kuna baadhi ya nchi hasa za magharibi ukienda ni nadra kupata public toilet ya kuchuchumaa na hata Nigeria Lagos na Abuja sikuwani kupata public toilet za kuchuchumaa mpaka nilikuwa naenda kwenye mghahawa ndo nilizipata.
Sasa na wewe choo cha wewe na shemeji yetu una kiogopa mkuu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hata mimi sivihusudishi .
Nyumbani kwangu, inanibidi kurudi public toilet badala ya master ambamo imo hiyo ya kukaa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Pole mkuu.
Kwa avatar yako tu unaonesha unashushaga mzigo mzito haswa mpaka umekupindisha sura.
Yeah hapo sio kabisa kweli mkuuhuwa nkikuta vyoo vya public halafu ni vya kukaa, huwa simuelewi kabisa mkandarasi
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]watu wa mikoani mnajulikana tu na tabia zenu za kunya hovyo hovyo
Uzuri wa vyoo hivi vya kukaa ni kuwa vikisafishwa vizuri haviwezi kukuambukiza magonjwa ,vimetengenezwa kwa ustad wa juu ni (antibacteria) ule u-smooth wake hautoi nafasi kwa bacteria kuweza ku- surviveHaahaha magonjwa njee njeee
Weee nani kakwambia??? Unaona ule weupe unakudanganya??? Yani kitendo cha kukalia pale alipokaa mwenzako tayari possibility ya kuambikizwa ugongwa hata wa ngozi ni rahisiiUzuri wa vyoo hivi vya kukaa ni kuwa vikisafishwa vizuri haviwezi kukuambukiza magonjwa ,vimetengenezwa kwa ustad wa juu ni (antibacteria) ule u-smooth wake hautoi nafasi kwa bacteria kuweza ku- survive
Inategemea na mwili wako. Kama una uzito huwezi kutumia choo cha kuchuchumaa. Mama mjamzito hawez kuchuchumaa! Usafi wako tu!Vyoo vya kukaa siyo vizuri kiafya kabisa. Jaribu kugoogle utapata majibu mwenyewe.
Ndio maana nimekwambia vikisafishwa mkuu!!Trust me ingekuwa vinamaambukizi kirahisi hivyo wasingeruhusu public toilets ziwe za kukaa ,tafiti zikifanyika ikaonekana ni safeWeee nani kakwambia??? Unaona ule weupe unakudanganya??? Yani kitendo cha kukalia pale alipokaa mwenzako tayari possibility ya kuambikizwa ugongwa hata wa ngozi ni rahisii
Haya mkuu Ila huwa sifeel comfortable kabisaa...!! Vile vyoo achaa niwe mshambaaa...Ndio maana nimekwambia vikisafishwa mkuu!!Trust me ingekuwa vinamaambukizi kirahisi hivyo wasingeruhusu public toilets ziwe za kukaa ,tafiti zikifanyika ikaonekana ni safe
sawa bro kama kigezo ni comfortability sawa nimekuelewaHaya mkuu Ila huwa sifeel comfortable kabisaa...!! Vile vyoo achaa niwe mshambaaa...
Habari wakuu,natumai mko vyedi kabisaa katika harakati za kusaka noti.Niende kwenye point,hivi karibuni nilikuja hapa jf nikaandika uzi wa kutafuta chumba so baada ya muda nikapata,sasa kimbembe hii room ina choo cha kukaa (KINU).
kiukweli toka nizaliwe sijawahi kuishi nyumba yenye choo cha aina hii,hivyo matumizi yake ni mtihani kwangu.
Kukaa napata shida mara ndonga iingie kwenye maji,mara mzigo ukishuka kwa uzito wa hali ya juu unasababisha mlipuko wa maji yananirukia makalioni dah,yani napata tabu sana kifupi mpaka nimekua nikienda kutumia choo cha kuchutama kwa rafiki yangu wa karibu.
Kazi njema wote.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] poa mkuu kwaheriUkitumia ile slope yanagandia gandia... biashara ya kuanza kuyasafisha tena mmmmmh... cha maana weka pepa then onyesha ujuzi wa kulenga...😀😀😀